DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
IMG-20221105-WA0195.jpg

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
IMG-20221105-WA0193.jpg
IMG-20221106-WA0003.jpg
IMG-20221106-WA0004.jpg
IMG-20221106-WA0005.jpg
IMG-20221106-WA0006.jpg
IMG-20221106-WA0007.jpg
IMG-20221106-WA0002.jpg
 
View attachment 2407948
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
View attachment 2407947View attachment 2407950View attachment 2407951View attachment 2407952View attachment 2407953View attachment 2407954View attachment 2407955
 
Attachments

  • IMG-20221105-WA0073.jpg
    IMG-20221105-WA0073.jpg
    26.8 KB · Views: 4
  • IMG-20221105-WA0058.jpg
    IMG-20221105-WA0058.jpg
    50.7 KB · Views: 6
  • IMG-20221105-WA0017.jpg
    IMG-20221105-WA0017.jpg
    69.1 KB · Views: 6
Mhe Shaka mueleze Mama Jiji la Dodoma wanakula zaidi ya urefu was kamba aliyo wapa

Iweje Jiji wapange na kuuza Maeve ya watu yanayo milikiwa kisheria kwa kisingizio Cha uvamizi bill walio vamiwa kukubaliana kulipwa hakozao kwanza? Mbona Magufuli alikataa eneo hilo kwakusema Hana hela za kulipa wamiliki was eneo la Nkuhungu broad acre na Matuli

Kuna ujanja mkubwa Sana ameufanya Mkurugenzi wa Jiji kupora maeneo ya watu na kuita mpango was kupanga Jiji

Mbona upanuzi wa Ikilu na ujenzi wa Magufuli City watu wamelipwa Hali zao bill kuchangia %asilimia?

Mbona ilipopita Sgr watu hawakuwa na hati miliki Wamelipwa Hali zao bila kukatwa asilimia ?

Mbona upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma watu Makole wamelipwa bila asilimia kukatwa

Jiji wamepima maeneo na kujimilikisha vituo vya mafuta na miradi mikubwa kwenye maeneo yenye miliki za watu na pesa zimeingia mifukoni mwao sio serekalini huu ni wizi wa Wazi kabisa

Mhe Shaka mueleze Mpendwa Raisi anahujumiwa waziwazi kwa kisingizio Cha eneo limevamiwa Sana Uongo mtupu Wavamizi so wawalipe wenye Maeneo kwanza?

Eneo no Matuli Nkuhungu na Mnadani
 
Hii kashfa ni mbaya
 
View attachment 2407948
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
View attachment 2407947View attachment 2407950View attachment 2407951View attachment 2407952View attachment 2407953View attachment 2407954View attachment 2407955
Pesa za serikali zipo nyingi tu za kuchezewa na CCM wenye nchi yao, nao na polisi nao wamo wanashiriki kongamano.
 
Waswahili husema 'kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza'

Ni dhahiri hapa kuna kutembezwa kwa kibaya ili kionekane kizuri. Jitihada imekuwa kubwa sana ya kuaminisha walimwengu kuna mafanikio yanapatikana lakini uhalisia unazungumza tofauti kabisa.

Ukiuliza imetumika kiasi gani hapo kuandaa kongamano la kusifu utaambiwa bilioni kadhaa.

Nina hakika kuna baadhi ya sifa hata huyo muhusika akisikia anajiuliza ni mimi kweli naongelewa.
 
Wakati BAVICHA wao wanatafuta katiba Mpya wenzako huku wanatafuta wanachama siku ya Uchaguzi utasikia tumeibiwa, Sasa sijui wataibiwa kura au katiba
Bunduki za nini kwenye uchaguzi?? na kwann uchaguzi ufanyike gizani? ulishawahi kusimamia uchaguzi?? Hata Zambia wakija hapa watawashangaa sana kwa namna uchaguzi unavyofanyika.
 
Tafuteni Wanachama ili msijekutafuta mchawi
 
Kampeni za kijanja hizi, wawaache wapinzani nao wapige semina au mikutano kama hiyo...

Mwisho wa siku, wananchi wataamua waende na nani
 
Back
Top Bottom