DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote

View attachment 2407948
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
View attachment 2407947View attachment 2407950View attachment 2407951View attachment 2407952View attachment 2407953View attachment 2407954View attachment 2407955
🤔🤔🤔
 
Ni upuuzi kwa kweli na haya sana sana yameshika kasi kuanzia awamu iliyopita. Tuache haya kama kazi zinafanyika hatuhitaji majukwaa kutangaza tutaona tu mabadiliko.
ila hata wasipofanya hayo masherehe nini kitabadilika? Kwamba hizo hela watakazosevu unadhani wewe utaziona? Yani hii ni nchale, Uiname nchale, uchutame nchale, usimame nchale.
 
Kuna wapuuzi wanajua kusifu na kuabudu watu, yani wana andaa kabisa warsha ya kumpongeza mtu anae timiza wajibu wake, alafu tudhani kuna siku inchi hii itaondoka kwenye umaskini
 
Pale kwenye ,"Uhuru wa kuikosoa serikali upo mkubwa" nimemkumbuka binti aliyekuwa anajitambulisha mitandaoni kama Dada Tanzania. Naamini uko aliko anamshukuru Mungu.
 
Tafuteni Wanachama ili msijekutafuta mchawi
CCM walifanya utafiti na tafiti hiyo ikaonyesha ni asilimia 45 tu ya wanachama wa CCM wanaopiga kura,na kati ya hao,asilimia 50 huwa hawaipigii kura CCM.

Wanachama wangekuwa ni mtaji wa kupata kura nyingi kwenye uchaguzi,CCM isingehangaika na kuiba chaguzi yoyote.
 
View attachment 2407948
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
View attachment 2407947View attachment 2407950View attachment 2407951View attachment 2407952View attachment 2407953View attachment 2407954View attachment 2407955
Vijana mnafanya kazi nzuri Sana
 
Kampeni za kijanja hizi, wawaache wapinzani nao wapige semina au mikutano kama hiyo...

Mwisho wa siku, wananchi wataamua waende na nani
Wee, wapinzani ni sawa na mbwamwitu, wakali wanashambulia jukwaa utadhani vichaa, watawaruhusu kuamkia uchahuzi. NEC ilitangaza uchaguzi mdogo ila wapinzani watacanya kampeni baada ya kupiga kura!
 
View attachment 2407948
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
View attachment 2407947View attachment 2407950View attachment 2407951View attachment 2407952View attachment 2407953View attachment 2407954View attachment 2407955
kazi nzuri Sanaa Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Wakati BAVICHA wao wanatafuta katiba Mpya wenzako huku wanatafuta wanachama siku ya Uchaguzi utasikia tumeibiwa, Sasa sijui wataibiwa kura au katiba
Mwambie shaka aje atafute wanachama wapya huku kwetu tandahimba
 
Back
Top Bottom