Angalia kwenye high tableMbona ni picha za shaka tu, hamna picha za mwamimba?
Mkuu, ni rekodi zipi zilzovunjwa?DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote
View attachment 2407948
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
View attachment 2407947View attachment 2407950View attachment 2407951View attachment 2407952View attachment 2407953View attachment 2407954View attachment 2407955
Kumbe nipa pacha hapaMbona ni picha za shaka tu, hamna picha za mwamimba?
Hii kashfa ni mbayaMhe Shaka mueleze Mama Jiji la Dodoma wanakula zaidi ya urefu was kamba aliyo wapa
Iweje Jiji wapange na kuuza Maeve ya watu yanayo milikiwa kisheria kwa kisingizio Cha uvamizi bill walio vamiwa kukubaliana kulipwa hakozao kwanza? Mbona Magufuli alikataa eneo hilo kwakusema Hana hela za kulipa wamiliki was eneo la Nkuhungu broad acre na Matuli
Kuna ujanja mkubwa Sana ameufanya Mkurugenzi wa Jiji kupora maeneo ya watu na kuita mpango was kupanga Jiji
Mbona upanuzi wa Ikilu na ujenzi wa Magufuli City watu wamelipwa Hali zao bill kuchangia %asilimia?
Mbona ilipopita Sgr watu hawakuwa na hati miliki Wamelipwa Hali zao bila kukatwa asilimia ?
Mbona upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma watu Makole wamelipwa bila asilimia kukatwa
Jiji wamepima maeneo na kujimilikisha vituo vya mafuta na miradi mikubwa kwenye maeneo yenye miliki za watu na pesa zimeingia mifukoni mwao sio serekalini huu ni wizi wa Wazi kabisa
Mhe Shaka mueleze Mpendwa Raisi anahujumiwa waziwazi kwa kisingizio Cha eneo limevamiwa Sana Uongo mtupu Wavamizi so wawalipe wenye Maeneo kwanza?
Eneo no Matuli Nkuhungu na Mnadani
Pesa za serikali zipo nyingi tu za kuchezewa na CCM wenye nchi yao, nao na polisi nao wamo wanashiriki kongamano.View attachment 2407948
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya leo Novemba 5, 2022.
View attachment 2407947View attachment 2407950View attachment 2407951View attachment 2407952View attachment 2407953View attachment 2407954View attachment 2407955
Bunduki za nini kwenye uchaguzi?? na kwann uchaguzi ufanyike gizani? ulishawahi kusimamia uchaguzi?? Hata Zambia wakija hapa watawashangaa sana kwa namna uchaguzi unavyofanyika.Wakati BAVICHA wao wanatafuta katiba Mpya wenzako huku wanatafuta wanachama siku ya Uchaguzi utasikia tumeibiwa, Sasa sijui wataibiwa kura au katiba
Tafuteni Wanachama ili msijekutafuta mchawiBunduki za nini kwenye uchaguzi?? na kwann uchaguzi ufanyike gizani? ulishawahi kusimamia uchaguzi?? Hata Zambia wakija hapa watawashangaa sana kwa namna uchaguzi unavyofanyika.
Polisi ndio hawaoni kazi nzuri inayofanywa na Mama Samia Suluhu Hassan?Pesa za serikali zipo nyingi tu za kuchezewa na CCM wenye nchi yao, nao na polisi nao wamo wanashiriki kongamano.
Maji yanatokana na Umeme,Walioga wote kweli?
Maana maji ni shida
Umeme unatokana na MajiMaji yanatokana na Umeme,
Maji yanatokana na Umeme,Walioga wote kweli?
Maana maji ni shida