Uchaguzi 2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

DC umetumia sheria gani kuingilia utaratibu wa uchaguzi ambao ni NEC pekee wenye uwezo wa kutoa matamko haya,Tanzania imeshaingia kwenye police state hatuna tofauti na korea ya kaskazini maana tunamwogopa mtu kuliko Mungu
 
Ndio sababu nikimwona mtu anasema tuchague ccm naona kama amerukwa na akili, hizi ndio akili za ccm.

Yani DC anadhani ana mamlaka ya kuzuia ndoa za watu?
Kwa mamlaka gani?
Kwa sheria ipi?

Ndio maana huwa nashauri katiba ifundishwe kuanzia shule ya msingi watu wajue haki na wajibu wao.
Wapuuzi kama hawa akikuharibia shughuli yako unampeleka mahakamani unamshinda kesi unadai fadia milioni 100

Jinga kabisa!
 
Mhe.Kanoni huenda ana point ya msingi, huwezi jua utamadauni na hulka ya Wananchi wake, tuache Viongozi wapigekazi ndio maana mamlaka na Serikali za Wanadamu zimetajwa mpaka kwenye vitabu Vitakatifu ziheshimiwe.
Mhe.DC pigakazi tumekuelewa.
Hii ni moja ya nchi chache ambazo watawala wake wanadharau sana wananchi. Yaani mtawala anaamka tu siku na kuamua kupiga marufuku ya mambo yasiyokuwa kwenye sheria. Lah acha ifike tarehe 28/10 tuondokane mambo haya ya kishetani. Yaani nikupe mamlaka kwa kura alafu unakuja kunitawala kwa nguvu bila ridhaa yangu? Ni ushenzi
 
Upinzan wa Nchi hii kuwa na Uwezo wa kushinda Uchaguzi wa Rais labda miaka 30 ijayo yaani mwaka 2050. Mark my words, hatuna Wapinzani bali tuna Wachumia Tumbo hakuna lolote lile ni Maigizo na Propaganda tusioelewa kama wewe ndio tunashupaza Mishipa ya Shingo na Kujipa matumaini Feki na kiendawazimu kwamba CHAMA KIKUU CHA UPINZANI ambacho kakina hata Ofisi yake ya HQ kwamba kitashinda Uchaguzi.
Tuache kabisa huu utaahira wa kupiga porojo mitandaoni badala yake hizo Smartphone na Bundles ambazo wanagawiwa Vijana kwa ajili ya Kupost matusi na Harakati za Mitandaoni zielekezwe Kujenga Ofisi za Chama kuanzia angalau Ngazi ya Wilaya kama siyo Kijiji, Kata na Tarafa na kusimika misingi ns Mizizi Imara ya Chama.
Otherwise acheni kuota ndoto za Mchana kwamba Upinzan watashinda.
 
Mhe.Kanoni huenda ana point ya msingi, huwezi jua utamadauni na hulka ya Wananchi wake, tuache Viongozi wapigekazi ndio maana mamlaka na Serikali za Wanadamu zimetajwa mpaka kwenye vitabu Vitakatifu ziheshimiwe.
Mhe.DC pigakazi tumekuelewa.
Hapana hayo matangazo yalipaswa kuwa yanatolewa mwanzoni mwa kampeni ili MTU asipange ratiba zake siku ya uchaguzi.
Kuna ratiba unakuta zimeangukia siku ya uchaguzi na zimetumia gharama kubwa. Nani atafidia hiyo hasara?
Nadhani kuna haja viongozi wawe wanaangalia kauli zao zisiwaumize wananchi.
 
Back
Top Bottom