Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa
"Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado hawajifika katika vituo vya kupiga kura waje kupiga kura hali ni shwari mazingira ni mazuri"- Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya