DC Kihongosi: Wanaohoji mimi kuwachapa bakora Wafanyabiashara hawana hoja. Niliowachapa wamelipa sh 5,400,000.00 kama fidia

Ndio uzalendo unavyotaka!
In the rule of law huo sio uzalendo...

Mahakama zipo na poliso ipo, alipaswa aiavhie hiyo kazi jeshi na mahakama...

Ukianza mtindo wa kucharaza "watuhumiwa" bakora, ina maana itabidi viongozi wawe wanatembea na bakora...
 
Watetezi wa haki za binaadam mbona wamekaa kimya? hili ndilo taifa tulilolitegemea?
 
Ni kweli mambo mengine yanachukiza sana!!!! Hao wanafunzi kuiba na kuuza hayo madawati kwa sh. 500 wakati na wao wanayahitaji hayo madawati! Na hao wafanyabiashara nao kuendelea kupokea hayo madawati kutoka kwa watoto wadogo bila kuchunguza yanapatikana wapi ni ukosefu wa maadili kabisa!!!

Lakini sasa huyo DC amevuka mipaka yake!Amechukua sheria mkononi! Sijui anaonyesha mfano gani kwa mtu wa kawaida!! Je TANZANIA sasa tunakubali kuwa mtu aliyeiba kuku apigwe ama auawe bila mahakama kuhukumu???
 
So next time wananchi wakimpiga mwizi mawe atasema wasichukue sheria mkononi?
 
Wahehe ni kati ya viumbe wa ajabu wenye ujinga mwingi na kujikomba nawafahamu vizuri sana
Hakuna mhehe wa aina hiyo anayejikomba ,mhehe kanyooka hapendi dharau au kudhulumiwa au uonevu
 
Kitendo alichofanya DC ni kitendo cha kihuni hivyo tukilaani kwa nguvu zote isije kuwa ndio utamaduni mpya wa kuonesha uzalendo. Pia nimuombe mh Rais amuondoe kwenye nafasi hiyo ya ukuu wa wilaya maana anamuharibia taswira ya taifa letu mbele ya jamii kimataifa ya watu waliostaarabika.
 
Kaibe na wewe halafu utueleze Sheria ipi inaruhusu kuiba.
Sheria inasema mtu akiiba apelekwe mahakamani. Siyo mbwa fulani anajitokeza na kutembeza bakora bila kibali cha mahakama. Narudia tena akiniletea hizo ngumbaru naisambaza hiyo receiption hatakaa atabasamu maishani stupid!
 
Wananchi tuamke sheria ya kujitetea ipo wazi.
 
Isije ikawa wewe ndiye mjinga na mpumbavu kuliko hao uliowataja
Ukweli yeyote anayekubaliana na kitendo cha DC kuchapa watu si tu mpumbavu ni zaidi ya mnyama wa porini!
 
Pumbaffu ingekuwa mi ningekuvunja pua unichape we kama nani
 
Huyu mtu anastahili kushitakiwa
 
Ukweli yeyote anayekubaliana na kitendo cha DC kuchapa watu si tu mpumbavu ni zaidi ya mnyama wa porini!
Mimi nakubaliana naye...kuchapa viboko siyo unyama...enzi za Nyerere watu walichapwa viboko wakati Fulani hasa baadhi ya Wala rushwa...Nyerere alisema unamchapa viboko mla rushwa wakati wa kuingia na wakati wa kutoka bill Shaka mahabusu au jela unamchapa Tena vingine I'll akamuonyeshe mke wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…