Upuuzi ilikuwa amri ya mahakama! Hata kama umepewa kacheo ndugu usijaribu huu upumbavu utakutana na mwamba ukuchambua hayo meno usiweze kujitetea popote! be ware miaka ya nyerere siyo hiiMimi nakubaliana naye...kuchapa viboko siyo unyama...enzi za Nyerere watu walichapwa viboko wakati Fulani hasa baadhi ya Wala rushwa...Nyerere alisema unamchapa viboko mla rushwa wakati wa kuingia na wakati wa kutoka bill Shaka mahabusu au jela unamchapa Tena vingine I'll akamuonyeshe mke wake...
Haraka sana nitakuwa wa kwanza kuchangia gharama za wanasheria! Kumbe ni huyu huyu alimtishia Zitto kifo?Hao watoto wanatakiwa kufungua kesi kwanini wamechapwa na huyu mwehu
Wafungue kesi ya abuse au violence
Kulipwa fidia sio ishu,kama ali indimidate wale watoto wakubali makosa na ukute hawajafanya tayari ni kosa
Kwanza ku-intimidate watoto chini ya miaka 18 na ku-extort 5mil from them tayari ni kosa
Huyu DC mwehu amedhibitishaje hawa watoto indeed wamefanya haya makosa kama mahakama haijatoa hukumu?
Yeye kavamia watoto by intimidation,kawachapa,kawalazimisha wakubali kitu ambacho labda hawajafanya na kalazimisha watoe hela
Sijui process ya mahakama ku-validate yote haya ipo wapi?
Wafungue kesi na wazazi wao wadai fidia,nk
Aombe radhi ya niniHoja sio kulipa fidia,
Wala swala la Uzalendo;
Hoja hapa ni kwa DC kuchapa viboko wananchi, jukumu ambalo hakutumwa alifanye.
Wakoloni wachape Babu zetu viboko ,
Viongozi wetu nao watuchape. Hapana.
DC aombe radhi. Huo ndio uungwana.
Mmh atapandishwa cheo niaminiAnatumbuliwa siku si nyingi
Rais hatabiriki huyu 😀😀Mmh atapandishwa cheo niamini
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwani angewadai tu bila kuwachalaza viboko wasingelipa?Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Does this justify the corporal punishment he executed to them?Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Iko siku na yeye watamlamba mboko tena za magereza.Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria.
Kihongosi amesema fedha hizo zitatumika kutengeneza madawati mapya.
Kadhalika DC Kihongosi amewaponda wanaomsakama mitandaoni kwa hatua yake ya kuwachapa bakora wafanyabiashara hao na kusema wanaolalamika hawana hoja ya msingi na siyo wazalendo kwa taifa letu.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hivi wewe kweli ni mtu wa kunielimisha mimi wakati neno dogo tu kama KUFAULU hauwezi kuliandika??unakosea kumshutumu mtoa habari ,,jitahidi kueelimika hata kama shule ilikuwa kazi kufauru
Wahaya unawaweka wapi kwenye kupenda sifa?Wahehe wanapenda sifa ni wajanja kutekeleza utapeli
Wapinga maendeleo wote na wahujumu lazima wacharazwe Kwanza viboko/bakora halafu ndio Mambo mengine yafuatie...Upuuzi ilikuwa amri ya mahakama! Hata kama umepewa kacheo ndugu usijaribu huu upumbavu utakutana na mwamba ukuchambua hayo meno usiweze kujitetea popote! be ware miaka ya nyerere siyo hii
Nyerere aliwahi kuwatandika viboko au bakora viongozi wa mgomo pale chuo kikuu Cha Dar es Salaam miaka ya 1960 ambao waligoma kusiwepo na makato ya mishara kwa wafanyakazi na pia wakagomea wasiende JKT...wakasema utawala wa Mwalimu eti ni 'afadhali ya mkoloni"..Mwalimu Nyerere alikasirika Sana akawatafuta viongozi wa mgomo na kuwacharaza bakora...baadaye Nyerere akaandika kajitabu kadogo akijibu hoja ya kejeli ya "afadhali ya mkoloni"Upuuzi ilikuwa amri ya mahakama! Hata kama umepewa kacheo ndugu usijaribu huu upumbavu utakutana na mwamba ukuchambua hayo meno usiweze kujitetea popote! be ware miaka ya nyerere siyo hii
Mwache sasa awatandike bakora wote akina Nchemba wakizingua mchapa bakora yupo. Awatandike fimbo UVCCM wote wanaompinga Rais maana hata yeye ameponea chupuchupu.Viboko vikawa chanzo cha mapato
Siku hizi wana kampeni ya kujiopendelea sana maofisini. Sijui ni ile kampeni iliyoanzishwa na Luhanjo akiwa na msela Kikwete Ikulu?Wahehe ni kati ya viumbe wa ajabu wenye ujinga mwingi na kujikomba nawafahamu vizuri sana