Hao watoto wanatakiwa kufungua kesi kwanini wamechapwa na huyu mwehu
Wafungue kesi ya abuse au violence
Kulipwa fidia sio ishu,kama ali indimidate wale watoto wakubali makosa na ukute hawajafanya tayari ni kosa
Kwanza ku-intimidate watoto chini ya miaka 18 na ku-extort 5mil from them tayari ni kosa
Huyu DC mwehu amedhibitishaje hawa watoto indeed wamefanya haya makosa kama mahakama haijatoa hukumu?
Yeye kavamia watoto by intimidation,kawachapa,kawalazimisha wakubali kitu ambacho labda hawajafanya na kalazimisha watoe hela
Sijui process ya mahakama ku-validate yote haya ipo wapi?
Wafungue kesi na wazazi wao wadai fidia,nk