Voicefromvoiceless
Member
- Sep 14, 2023
- 82
- 74
Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno.
Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali.
Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao kwenye Canter wakitoka Shambani wakanyang'anywa. Na wengine waliopakia kwenye fuso wakitoka mashambani, walazimishwe kushusha godauni (ghalani) na hizo Mbaazi kukabidhiwa dalali marufu yeye na bosi wake wakazisafirisha hadi Dar es salaam bila ridhaa za wakulima.
Huyo dalali na bosi wake ambaye ndio huwa wanafanya nae kazi walikwenda kuuza Mbazi hizo zaidi ya Tani 30 kwa bei ya zaidi ya 2450/ na wao wamewapa wakulima hao baada ya kupokea pesa dar es salaam kati ya Tsh 2999/- hadi 2110/-huku wao wakitajirika na kununua Magari.
Kuna gari aina ya canter huyo dalali na boss wake wamenunua kupitia hela za wakulima wa Mbaazi. Hali inasikitisha sana, mkulima amebaki madkini ila Madalali waliopewa mbaazi zao na serikali wao wamerudi na magari.
Hiyo Canter ni pesa za wakulima wa Mbaazi hela walizokatwa.