Voicefromvoiceless
Member
- Sep 14, 2023
- 82
- 74
- Thread starter
- #21
Tunataka kujuwa mbazi zolizotoka ghalani alizozisafirishs Dalali na Nyoka wa Tajiri Moja aliyetajirika na Ushirika hapo Matui kuanzia kwenye Alizeti, Jee hizi mbazi dalali mkubwa alipewa kama nani? Na Kwa Maslahi yapi! Tunakuwa Kuna badhii zilipata matatizo ya kibali maeneo ya Makunganya na wakatoa rushwa kwakuwa document hazikuwa Halali, Tunajuwa Dalali aliyepewa kuuza Dar es salaam na hata akaunti number ya huyo dalali maarufu Kwa wafanyabiashara wa Kiteto aliyepokea hizo mbazi, Piya Tunajua Akaunti ya mtu wa Kiteto aliyepokea hizo Hela kutoka Dar es salaam, na huyo mtu kuanza wa kuwabalanciya wakulima akianza na wale Jamaa wa canter walioporwa mbazi,then Mmasai, na mwengine yule aliyepewa Kesi na kulipishwa Hela Laki tatu na Gunia kumi kuchukuliwa, Au Bado mnataka ushahidi mwingine?TAKUKURU,TISS na wakuu wengine watafanyia kazi.Mambo kama hayo huleta manung'uniko,lawama na kuzusha ghasia.Wenye akili na wasafi hawawezi kuliacha hivihivi.