Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Askofu Bagonza na Padre Kitime ndio Vionozi Pekee wanaoongozwa na Roho wa Mungu kama Nabii Yeremia na Nabii Eliya wa leo.Bagonza na Dr Kitime wanatimiza majukumu yao kwa asilimia 100.
Msikilize na mlevi mwingine huyu kutoka Lumumba
Oooohh kumbe ndio maana Msigwa mkamnyima Uenyekiti wa Kanda sababu hana hela kumzidi Sugu 😂😂😂Shukrani nyingi zimwendee aliyemdukua, huyu mjinga alikuwa anaropoka akijua hakuna anayemrekodi, Masikini wasipewe vyeo, wakivipata wanajipa Uungu
Mpe DC aliyetenguliwa heshima yake! Kilaza hawezi kusema ukweli hadharani.Kuna viongoz n vilaza hata sjui wanapataje hivo vyeo
Kwani Rais hawapendi wasema kweli?
Yes kwa maana refa yupo kwa uoande mmoja,Kwa hiyo hata Mungu asipotaka watashinda tu?
The time will tell!
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
Kumbe Lissu na Heche ni masikini? Nilikuwa sijui.Oooohh kumbe ndio maana Msigwa mkamnyima Uenyekiti wa Kanda sababu hana hela kumzidi Sugu 😂😂😂
Ndo maana tajiri Mbowe chama haachii kwa maskini akina Lissu na Heche!!
Iko hivi, asilimia kubwa ya changamoto tunazo zipata, (pitia), zinasababishwa na binadamu kwa makusudi ama bila kujua hata yeye mwenyewe anaweza kujisababishia changamoto bila kujua kwa, wivu uzembe, uvivu ujinga na ushamba hata tamaaYes kwa maana refa yupo kwa uoande mmoja,
Labda sheria ziabadilike
Sasa Lissu na Heche wana pesa kama Mbowe au marehemu Ndesamburo? Huoni alifukuzwa maskini Slaa asigombee Urais akapewa Tajiri LowassaKumbe Lissu na Heche ni masikini? Nilikuwa sijui.
Ukweli gani? Wewe unawapenda?Kwani Rais hawapendi wasema kweli?
Huyu DC angefaa sana kuwepo kwenye Mdahalo wa jana lkn ndiyo hivyo tena.Alitumwa na serikali kuua Wapinzani ili wapite bila kupingwa, Iko hivi, January, Nape,Riziwani na Kasimu Majaliwa walipita bila Kupingwa huku wagombea wa upinzani wakikamatwa ama kuokotwa kwenye mapori ya Mkurunga, Kwa Mfano, Mgombea wa Chadema Mtama aliyeitwa Suleiman Mathew alikamatwa kwenye ofisi ya Ded akirejesha fomu ya kugombea Ubunge, akapewa kesi ya uongo ya Uhujumu Uchumi, Mgombea wa upinzani Jimbo la Rwangwa aliokotwa Mkuranga akiwa nusu Maiti, hili ni Jimbo la Kasimu Majaliwa.
Haya Mambo yalifanywa Mchana kabisa huku kila mtu akiona kwa macho.
Mwingine ambaye baadaye atakamatwa na kushitakiwa ni Abood wa Morogoro, huyu pia aliteka Wagombea wa Upinzani akiwemo Mgombea wa Chadema
Mnyororo ni mrefu mno na nakuhakikishia kwamba siku zijazo watakamatwa na kushitakiwa, Ushahidi umejaa tele, hakutakuwa na Mswalie Mtume, Usalama wao ni Kufa kabla ya Kukamatwa, lakini wakiwa Hai watakamatwa hata wakiwa kwenye Wheel Chair
Nini kifanyike sasa?Iko hivi, asilimia kubwa ya changamoto tunazo zipata, (pitia), zinasababishwa na binadamu kwa makusudi ama bila kujua hata yeye mwenyewe unaweza kujisababishia changamoto bila kujua kwa, wivu uzembe, uvivu ujinga na ushamba hata tamaa
Mmedhalilika sana! Sema njaa haina baunsaUkweli gani? Wewe unawapenda?
Amesema ukweli.Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma:
Iko hivi, asilimia kubwa ya changamoto tunazo zipata zinasababishwa na binadamu kwa makusudi ama bila kujua hata yeye mwenyewe anaweza kujisababishia changamoto bila kujua kwa uzembe, uvivu ujinga na ushambaYes kwa maana refa yupo kwa uoande mmoja,
Labda sheria ziabadilike
Elimu ya kukabiliana na majanga,(how to overcome uncertainty), lakini chanzo kikuu ni jamii ndiyo ilaumiwe kuto chukua hatua jamii ni wewe yule, huyo niliyo naye karibu na mimi yaani tukiendelea kunyamaza hata arudi huyo aliye ahidi kurudi hata fanya chochote Mungu katupa akili na utashi lakini sisi ni wazembe tunawafurahia wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi zao yaani kujizima data,tena tunawasifu na kuwapigia makofiNini kifanyike sasa?
waliomuona hawakuamini, unaambiwa anakimbia kishada kinasubiri!Kumbe ndio maana Nchimbi alikimbia mdahalo jana kwamba angedhalilishwa.... Chief Odemba aandae mdahalo upya.