Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
IMG-20240901-WA0092.jpg
 
Inasikitishaa Sanaa,ninachojua Kila kitu kinamwanzo na mwishoo. Sina chama nimuumini wa maendeleo kwenye nchi hiki alicholopoka hakina tija kwenye nchii. Ningefurahi Sanaa kushudia nchi inaongozwa na upizani siku Moja nikiwa Hai. #Yanamwisho.
 
Tukisema hapa JF tunafungiwa na melo,mods wake kazi yao ni kukaza shingo tu. Ona sasa ccm wenyewe wanathibitisha kua ni majizi ya kura na kuteka watu uko mapolini. Kama mnanifungia nifungieni tu CCM ni majizi sugu.wakiongozwa na KIZIMKAZI.
 
Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.

Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.

Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.

Asante sana CCM, idumu.

"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!

"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.

"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.

"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."

View attachment 3084265

Pia soma:

Kurujuani inafanya kazi na bado
 
Imemtokea puani sasa arudi akalime nyanya kama Ally Hapi
 
Back
Top Bottom