DC Ludigija: Kuna Meli inavujisha mafuta baharini, Watu wa Dar msinunue mafuta ya kwenye Madumu, yamechotwa Baharini

Kama si DC basi muwasilisha mada ndio ana shida sehemu!
Hebu fafanua ni madumu ya aina gani-Lita 1,3,5 au 20? Au madumu ya aina gani?
unatakiwaa ujiongeze wewe BINADAMU umeoewa uwezo mkubwa sana wa kung'amua mambo
zamani JAMII FORUMS
ukileta jambo ulikuwa huitajiki kutoa maelezo mengi 7bu watu wanakuwa washajua nini unamaanisha hukuhitajika kutumia nguvu nyingi kufafanua

sasa unashindwa kuelewa nini kinachomaanishwa

kwa lugha nyepesi usinunue mafuta ya mkononi inawezekana ikawa ndio hayo ya baharini yaliomwagika utaharibu injini ya gari yako
ukitaka mafuta nenda ununue kwenye kituo cha kuuzia mafuta (sheli)
 
Nunuwa mafuta kwenye filling station, usichoelewa hapo ni kitu gani?
Awali taarifa haikuwa inajitosheleza ndio maana nikaandika hivyo. Hapakuwa hata na maelezo wala video ila kwa sasa imesharekebishwa
 
Huyu DC Ni raia wa wapi
Lakini serikali imefikia wapi kuhusu wahusika wa sakata hilo la umwagaji mafuta

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

The Horizon Deep
 
Huyu DC Ni raia wa wapi
Lakini serikali imefikia wapi kuhusu wahusika wa sakata hilo la umwagaji mafuta

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ni msukuma,na ndio kabila kubwa kabisa Tz na ndio zinaeafanya wanasiasa wa vyama vyote Tz kujipendekeza kanda ya ziwa hata Kama hawapapendi.
 
Hiii habari haihusiani na ya bomba la TAZAMA kufuka moshi???
 
Kwa nn wasiwakamate wanaofanya hivyo?
 
Inashangaza bado kuna watu kama wewe hawaamini kama mwendazake ameshakufa,
Mwacheni mama afanye kazi hizi kelele zenu hazibadilishi yaliotokea.
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano........
 
Chini ya Mmakunduchi nchi inarudi kuwa shamba la bibi kwa kasi sana

Kipindi cha chuma cha pua hawakuthubutu kuchafua mito, bahari, nakadhalika; kwa ku-dump kemikali/&mafuta
Jiwe alikuwa kiongozi kweli wanaopinga ni hao vilambimkwidu
 
So wanaiacha meli iendelee kuvujisha mafuta baharini?
 
Hii nchi usalama wake ni kidogo sana.kama meli inaweza kumwaga mafuta mengi kiasi hicho baharini hadi yakasambaa eneo kubwa na mpaka taarifa inatolewa haijajulikana yanatokea wapi iko shida kubwa.
 
Inasikitisha sana... NEMC wamelele tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…