Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatakiwaa ujiongeze wewe BINADAMU umeoewa uwezo mkubwa sana wa kung'amua mamboKama si DC basi muwasilisha mada ndio ana shida sehemu!
Hebu fafanua ni madumu ya aina gani-Lita 1,3,5 au 20? Au madumu ya aina gani?
Awali taarifa haikuwa inajitosheleza ndio maana nikaandika hivyo. Hapakuwa hata na maelezo wala video ila kwa sasa imesharekebishwaNunuwa mafuta kwenye filling station, usichoelewa hapo ni kitu gani?
Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu.
Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga mafuta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza kuharibu Injini ya gari. Na wale wanaoishi jirani na Dar wawe makini. Mafuta haya yapo Mkuranga Bagamoyo na Tanga
Pia amepiga marufuku watu kutumia maji ya bahari hadi Uchunguzi utakapo kamilika. Haijajulikana mafuta yale yana mchanganyiko wa Vitu gani.
View attachment 2178278
Ni msukuma,na ndio kabila kubwa kabisa Tz na ndio zinaeafanya wanasiasa wa vyama vyote Tz kujipendekeza kanda ya ziwa hata Kama hawapapendi.Huyu DC Ni raia wa wapi
Lakini serikali imefikia wapi kuhusu wahusika wa sakata hilo la umwagaji mafuta
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inashangaza bado kuna watu kama wewe hawaamini kama mwendazake ameshakufa,Nashangaa hili tatizo wameshalitengeneza kwa kutuambia sababu ni vita ya Urusi na Ukraine, lakini naona bado wanaendelea kuliongezea sababu nyingine za hovyo ilimradi kuhalalisha uhaba wa mafuta.
Huyu Rais mtetezi wa wafanyabiashara aondoke tu, hana akili ya kuongoza hili taifa na hata wasaidizi na washauri wake pia nao hawana akili za kutuongoza, wote ni failure.
Jiwe alikuwa kiongozi kweli wanaopinga ni hao vilambimkwiduChini ya Mmakunduchi nchi inarudi kuwa shamba la bibi kwa kasi sana
Kipindi cha chuma cha pua hawakuthubutu kuchafua mito, bahari, nakadhalika; kwa ku-dump kemikali/&mafuta
Ile kamati yenu ya Jafo itasema ni matokeo ya Vinyesi na mikojo ya wanyamaDuh.....wasije kusema kuna uhaba wa wese baadae!
..kwanini taarifa za kiintelijensia zimeshindwa kuwanasa wahusika kabla ya hawajatekeleza mipango yao?