DC Magoti wa Kisarawe akumbushwe, Rais hakupeleka nyampara au mtawala Kisarawe, alipeleka kiongozi

Mnapoambiwa shetani hana rafiki muwe mnaelewa
Shetani sio mbaya, mabaya ni matendo ya kishetani. Mara kadhaa shetani kaongea na Mungu, enzi ya Ayoub, na hata wakati wa Yesu, akamtembeza mji mzima akamuonyesha fahari. Shetani anaweza kutubu, akakuacha wewe ukienda motoni
 
Kisarawe ina hali ya hewa nzuri, na inaweza kulisha Dar es Salaam.

Ukiwawekea makucha katika ngozi zao, utaona macho yao makali.
Wazaramo ni wavivu, ndiyo maana ardhi nzuri yenye rutuba ipo hata kabla ya Magoti kuzaliwa na kuteuliwa kuwa DC lkn wanakisarawe ni maskini wa kutupwa. Wamekalia kucheza taarabu na kuendekeza ngono tu. Namuona Magoti akichukuwa mstari uliyo sahihi kwa kukataza ngoma na taarabu.

Na kuhusu kutoa makucha, wanakisarawe hawana ubavu huo. Magoti shikilia hapo hapo ili kuwasaidia hawa wazaramo.
 
Shetani sio mbaya, mabaya ni matendo ya kishetani. Mara kadhaa shetani kaongea na Mungu, enzi ya Ayoub, na hata wakati wa Yesu, akamtembeza mji mzima akamuonyesha fahari. Shetani anaweza kutubu, akakuacha wewe ukienda motoni
Basi usilie tena humu na mambo ya kisarawe
 
Naona kama Magoti anataka kupandisha mabega juu kuliko ya aliyemteua. Maji ya mto huwa hayapandi juu zaidi kupita chanzo chake, bali huteremka chini.

Naona Magoti anajiona ni mnyampara kama wale wa enzi ya ukoloni. Hana uongozi shirikishi na jamii aliyoikuta. Najua na yeye ni mabaki ya yule jamaa aliyeenda zake, na ndiye alimuibua.

Sakata la mkaa, anaweza kulitatua kwa ushirikishaji wa kamati za mazingira zilizo mpaka ngazi ya vijiji. Wananchi wakawa sehemu ya utekelezaji kwa kuwa wao ndio wanawajua wauza mkaa. Sasa mtu ana mkaa fungu moja anaenda kupikia nyumbani kabeba kwa pikipiki, nalo ni kosa?

Masuala mengine pia, hata ya kiimani, waite watu, washirikishe. Watanzania wana akili.

Uongozi ni ushirikishwaji, ukiwashirikisha watanzania, hawana neno, waite, kunywa nqo kahawa, waeleze jambo lako, sikia maoni yao, fikieni uamuzi wa pamoja. Lakini ukivimba, mwenye mamlaka kwa niaba yao anaweza kuku-recall. Hata SSH mwenyewe havimbii watu na kuwatishia ubabe.

Kisarawe ni moja kati ya wilaya tulivu, utulivu huo upewe tafsiri ya maendeleo. Mkuu wa Wilaya aombe mbegu za korosho, parachichi, apiganie zao la mbaazi, ufugaji wa kisasa, elimu. Tembea na hayo.

Kisarawe ina hali ya hewa nzuri, na inaweza kulisha Dar es Salaam.

Ukiwawekea makucha katika ngozi zao, utaona macho yao makali.

Pia soma
Nimekuona mjinga na jitu la hovyo kabisa uliposema ni mabaki ya Jamaa aliyeenda zake . Wewe ni jinga kweli na hivi punde utaenda zako pia
 
Hoja za Petro zote zina mashiko Tena kwa jamii ya kiislam ya kisarawe.
1. Suala pikipiki kubeba mkaa. Labda kama huoni ila wale jamaa wanosafirisha mkaa kwa pikipiki Wana hatarisha sana usalama wa watumia Barbara . Mzigo wa kubebwa na Kenta tani tatu unabebwa na boda. Boda inafungwa magunia kiasi kwamba dereva haoni nyuma kitu ambacho ni hatari sana.

2. Kupiga marufuku wanafunzi kucheza au kuchezwa ngoma. Amezuia kuchezwa au kucheza hizo ngoma nyakati za shule. Ameshauri wakati wa masomo watoto waende shule ngoma zichezwe muda ambao hautaathiri masomo. Hapo tatizo lipo wapi? Maoni yangu binafsi hizi ngoma ni za kishenzi tuu watoto wanafundishwa usharati kuliko maadili.

3. Watoto msikini. Kama bado unalalamika hili la watoto kuanzia miaka mi3 kulazwa mazingirq mabovu msikitini kisa wazazi wao wameridhia, basi unastahili kupimwa akili na mkojo kabisa.

Magoti yupo sahihi na huyu bwana nimefahamu tangu chuo nilisoma nae ni mtu aliyeenyooka sana. Nilikuwa namchallenge sana ukada wake alikuwa anamtazamo tofauti na ccm wengi japo yeye alikuwa ni kada.kindakindaki.
 
Naona kama Magoti anataka kupandisha mabega juu kuliko ya aliyemteua. Maji ya mto huwa hayapandi juu zaidi kupita chanzo chake, bali huteremka chini.

Naona Magoti anajiona ni mnyampara kama wale wa enzi ya ukoloni. Hana uongozi shirikishi na jamii aliyoikuta. Najua na yeye ni mabaki ya yule jamaa aliyeenda zake, na ndiye alimuibua.

Sakata la mkaa, anaweza kulitatua kwa ushirikishaji wa kamati za mazingira zilizo mpaka ngazi ya vijiji. Wananchi wakawa sehemu ya utekelezaji kwa kuwa wao ndio wanawajua wauza mkaa. Sasa mtu ana mkaa fungu moja anaenda kupikia nyumbani kabeba kwa pikipiki, nalo ni kosa?

Masuala mengine pia, hata ya kiimani, waite watu, washirikishe. Watanzania wana akili.

Uongozi ni ushirikishwaji, ukiwashirikisha watanzania, hawana neno, waite, kunywa nqo kahawa, waeleze jambo lako, sikia maoni yao, fikieni uamuzi wa pamoja. Lakini ukivimba, mwenye mamlaka kwa niaba yao anaweza kuku-recall. Hata SSH mwenyewe havimbii watu na kuwatishia ubabe.

Kisarawe ni moja kati ya wilaya tulivu, utulivu huo upewe tafsiri ya maendeleo. Mkuu wa Wilaya aombe mbegu za korosho, parachichi, apiganie zao la mbaazi, ufugaji wa kisasa, elimu. Tembea na hayo.

Kisarawe ina hali ya hewa nzuri, na inaweza kulisha Dar es Salaam.

Ukiwawekea makucha katika ngozi zao, utaona macho yao makali.

Pia soma
Dini ikizidi sana unakua mpumbavu
 
Shetani sio mbaya, mabaya ni matendo ya kishetani. Mara kadhaa shetani kaongea na Mungu, enzi ya Ayoub, na hata wakati wa Yesu, akamtembeza mji mzima akamuonyesha fahari. Shetani anaweza kutubu, akakuacha wewe ukienda motoni
Kwamba sumu sio hatari, ila hatari ni madhara ya sumu? Mkuu hiyo mifano ulioweka hapo haiendani kabisa na hoja yako. Ifute tafadhali
 
Naona kama Magoti anataka kupandisha mabega juu kuliko ya aliyemteua. Maji ya mto huwa hayapandi juu zaidi kupita chanzo chake, bali huteremka chini.

Naona Magoti anajiona ni mnyampara kama wale wa enzi ya ukoloni. Hana uongozi shirikishi na jamii aliyoikuta. Najua na yeye ni mabaki ya yule jamaa aliyeenda zake, na ndiye alimuibua.

Sakata la mkaa, anaweza kulitatua kwa ushirikishaji wa kamati za mazingira zilizo mpaka ngazi ya vijiji. Wananchi wakawa sehemu ya utekelezaji kwa kuwa wao ndio wanawajua wauza mkaa. Sasa mtu ana mkaa fungu moja anaenda kupikia nyumbani kabeba kwa pikipiki, nalo ni kosa?

Masuala mengine pia, hata ya kiimani, waite watu, washirikishe. Watanzania wana akili.

Uongozi ni ushirikishwaji, ukiwashirikisha watanzania, hawana neno, waite, kunywa nqo kahawa, waeleze jambo lako, sikia maoni yao, fikieni uamuzi wa pamoja. Lakini ukivimba, mwenye mamlaka kwa niaba yao anaweza kuku-recall. Hata SSH mwenyewe havimbii watu na kuwatishia ubabe.

Kisarawe ni moja kati ya wilaya tulivu, utulivu huo upewe tafsiri ya maendeleo. Mkuu wa Wilaya aombe mbegu za korosho, parachichi, apiganie zao la mbaazi, ufugaji wa kisasa, elimu. Tembea na hayo.

Kisarawe ina hali ya hewa nzuri, na inaweza kulisha Dar es Salaam.

Ukiwawekea makucha katika ngozi zao, utaona macho yao makali.

Pia soma
Huyo we mwache tu!!
 
Back
Top Bottom