Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Kukata miti na kuchoma mikaa inatakiwa kupigwa marufuku nchi nzima.Idadi ya chawa wa kumpamba inajulikana, ila ujumbe umemfikia
Huyu Magoti ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wote.
Juzi tu amebaini na kuzuia watoto waliokuwa wanarundikwa na kulazwa msikitini, eti wanafundishwa kuhifadhi Quruani.
Huyu Magoti ni kati ya viongozi wachache mahiri kabisa.