DC Magoti wa Kisarawe akumbushwe, Rais hakupeleka nyampara au mtawala Kisarawe, alipeleka kiongozi

Sijawahi kujua kwamba wewe ni Bogus kiasi hiki mkuu nimekuvua nyota zote maaana una hulka za mihemko ya kimatabaka hutumii Logic hata chembe.
 
ni ajabu sana kwamba kuna ndugu zetu katika imani, wanatetea wale watoto kurundikwa vile kama maguruwe, mazingira hayaruhusu watu wengi vile kulala pale. uchafu wa chooni umesambaa vichakani na mwengine wameuelekeza toka chooni kwenda eneo la open space. mtaumwa vipindupindu mfe kama kuku na mngerudi kwa serikali hii hii.

kwanza ametufunua wengi, icho kilikuwa kilinge cha kufundisha ugaidi, ndio maana wanachukua watoto failure ambao hawana ubongo ili wawalishe sumu vizuri. serikali iwe makini.
 
Yaani niliposoma kwenye utangulizi ukimshutumu Magufuli ambaye hata hakumteua kwenye nafasi hiyo nikasikia kichefuchefu.

Wewe ni MPUMBAVU kama wapumbavu wengine wasio na akili!!

Nyie ndio mnapoteza huyo mama Kwa kukwepesha Kila anachostahili kuwajibika nacho.

Jinga Moja hivi
 
huo ukanda umejaa magaidi na hata hao watoto wamewachukua strategic areas za kurecruit magaidi. unaona ni Kondoa, tanga, mtwara, Lindi, singida, morogoro. ilitakiwa ifuate kigoma. huko kote ni recruits za magaidi na watakuja kusumbua sana hii nchi mbeleni.
 
Mkojo, umekula hata lunch kweli?
 
Magoti hana kosa, anasimamia sheria inasema nini.

Ila watu wanapenda kuishi kwa mazoea na kuoneana huruma.
 
Huyu mkuu wa wilaya ebu apewe mda ,naona kama mbele anaweza fanya vizuri, ile ya watoto wa madrasa ,kuna kitu nimeona kipo ndani yake ambacho ni kizuri .

Si mtetei ila tumpe mda ,tabia chafu ya mtu huwa haijifichi
 
Hakuna DC pale, tatizo la kugawa vyeo kama Biscut, asilima 100 ya wakuu wa wilaya ni hawana uwezo na huyo magoti ndio balaa tupu, ashujuru tu kwamba ni kiongozi katika Taifa lililo jaaa wajinga. Yaani wanacho jua ni kuamrisha, habari zao usipo kutana na habari ya Kuamrisha utakutana na ya kupiga marufuku, kuonya, kutishia,
 
Magoti hana kosa, anasimamia sheria inasema nini.

Ila watu wanapenda kuishi kwa mazoea na kuoneana huruma.
Sheria inasema nini? Hao raia wana kazi mbdala wameisha rafutiwa? CVM inawekeza kwenye projects za vitu kutafutabsifa inaachana na project za watu.

Raia wanahitaji Projects za kuondoa umasikini wa vipato vyao, hizo project hazipo, sana sana zipo za Barabara, Madaraja na umeme.
 
Huyu mkuu wa wilaya ebu apewe mda ,naona kama mbele anaweza fanya vizuri, ile ya watoto wa madrasa ,kuna kitu nimeona kipo ndani yake ambacho ni kizuri .

Si mtetei ila tumpe mda ,tabia chafu ya mtu huwa haijifichi
Afanye vizuri kivipi? Sikiliza mmezoea kiki san, mmezoea kamera, anacho fanya kama kawa ni kuueza na akili za wajinga wa hili Taifa, Taifa lina wajinga asilimia 90
 
Hizo ni imani zao, na Serikali haina Dini, na kama kuna sheria wanavunja wanapaswa kushitakiwa kama hakuna sheria wanavunja basi waachwe
 
I see!

Viongozi bora kumbe bado wapo, nimeshtushwa na kufurahi mno baada ya kupata taarifa ya mambo mazuri anayotekeleza Mheshimiwa Petro Magoti.

Tunahitaji viongozi kama huyu.
Huyu bwana atafutiwe cheo cha juu zaidi, ameuoversize u DC.
 
Afanye vizuri kivipi? Sikiliza mmezoea kiki san, mmezoea kamera, anacho fanya kama kawa ni kuueza na akili za wajinga wa hili Taifa, Taifa lina wajinga asilimia 90
Mawazo yangu yaheshimiwe ,siandiki kwa mehemuko ,wena unavyo mtafakari ni tofahuti ninavyo mtafakari , naheshim mawazo yako nawe heshim mawazo yangu , wenda nipo sahii au sipo sahii
 
Kama hawana kazi mbadala ndo waachwe wahatarishe usalama wao na watumiaji wengine wa barabara?

Wewe kazi umetafutiwa na ccm?
 
Ndg mwache kiongozi afanye uongozi ,nq namna moja wapo ya kufanya uongozi ni kufanya maamuzi
 
I see!

Viongozi bora kumbe bado wapo, nimeshtushwa na kufurahi mno baada ya kupata taarifa ya mambo mazuri anayotekeleza Mheshimiwa Petro Magoti.

Tunahitaji viongozi kama huyu.
Huyu bwana atafutiwe cheo cha juu zaidi, ameuoversize u DC.
Idadi ya chawa wa kumpamba inajulikana, ila ujumbe umemfikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…