Mmmmh yaani wewe unachuki binafsi.....khaaaa eti wimbo mbaya.....duuuh.....wamejitahd sana Lee nafasi zao. .....wanastahili pongezi.Huyu dogo nliona siku hiyo wanamfukuza na mawe kijiweni hadi noma,
Naona anataka kujirudi kivingine...any ways thats creativity
ILA NYIMBO NI MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mmmmh yaani wewe unachuki binafsi.....khaaaa eti wimbo mbaya.....duuuh.....wamejitahd sana Lee nafasi zao. .....wanastahili pongezi.
Huyu jamaa nimemfuatilia sana na hakika nakuambia atafika mbali na anayebisha atakuja kuyakumbuka maneno yangu haya.Kimbunga jamaa yuko vizuri sana wala sio kidg
Hakumshinda yule Mama wa CUFHuyo MB ndugu, ana kazi ya kufanya kwakweeeli mana ni wanamchukia utadhani alitaka kuwalisha sumu
Nadhani ni approach nzuri kufikisha ujumbe kwa watu wake. wakazi wa ukanda ule ukiwaendea kuhusu elimu dunia hawakuelewi kirahisi.Huyu dogo nliona siku hiyo wanamfukuza na mawe kijiweni hadi noma,
Naona anataka kujirudi kivingine...any ways thats creativity
ILA NYIMBO NI MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Hawezi shinda 2020Huyu jamaa nimemfuatilia sana na hakika nakuambia atafika mbali na anayebisha atakuja kuyakumbuka maneno yangu haya.
Kwa hivi sasa anapambana apate barabara ya Tanga - Pangani - Bagamoyo kupitia Saadan na Mungu yupo upande wake kwa kuwa nilisikia sehemu fulani kwamba hiyo barabara itajengwa kwa kiwango cha lami hivi karibuni. Niliwahi kumsikia pia akiwa na mkakati wa kushughulikia suala la maji. Ukiunganisha na mkakati wa elimu basi kamaliza.
Kwa muonekano wake nilitegemea kuanzia 30 hivi kumbe 23.Aiseee kweli acha umri ubaki kuwa siri ya mtuMiaka 23 ndio ana-look hiyo? Akifikisha 35 si atakuwa Bibi Bomba?
Nalifahamu hilo mkuu,Hakumshinda yule Mama wa CUF
2020 CCM watamtosa kura za maoni
Nilikuwa huko,hata kusalimia wapiga kura hawezi
Mkuu mama Mwidau alipigwa bao la kisigino pale,Mbona jamaa yupo vizuri sana. Huwa anajenga hoja za maana na anapigania kweli wana Pangani. Alipambana na Mama Mwidau kwenye uchaguzi mkuu akambwaga
Huyu dogo nliona siku hiyo wanamfukuza na mawe kijiweni hadi noma,
Naona anataka kujirudi kivingine...any ways thats creativity
ILA NYIMBO NI MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA