Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hapo wanafanya kazi ya Serikali ama ya CCM? Mbona wana sare za chama?
Hilo swali nami nimejiuliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wanafanya kazi ya Serikali ama ya CCM? Mbona wana sare za chama?
Mbona wimbo mzuri tu.Huyu dogo nliona siku hiyo wanamfukuza na mawe kijiweni hadi noma,
Naona anataka kujirudi kivingine...any ways thats creativity
ILA NYIMBO NI MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mkuu kama mheshimiwa kasema yy ana miaa 23 basi kadanganyaMiaka hiyo kaitaja yeye Mkuu,sio sisi.
Mi nakumbuka kuanza kumfahamu akiwa O'level kama sikosei Jangwani Sekondari.Kuna kipindi ITV kilikuwa kinarushwa Jpili mchana,kama "Debate" hivi...Huyu binti alikuwa akionekana sana akighani Mashairi,anaonekana ana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo.
Hiyo ilikuwa aeound 1999 to 2002,na hapo alikuwa kama sikosei form One au Two,sasa kusema sasa ana miaka 23,ina maana kipindi kile alikuwa ana miaka kumi akiwa Sekondari?
Kwa kweli mimi namfahamu toka akiwa O'level,sasa hii ya miaka 23?hata mimi nimestuka.
Kuna kipindi kilikuwa ITV kikirushwa Jumapili mchana,nafikiri kilikuwa kabla ya TAMASHA LA MICHEZO la Captain Michael Maluwe!!Wanafunzi wa Dsm wakifanya kama "Debate" na kuonyeshwa na ITV
View attachment 423733 View attachment 423731 View attachment 423732 Anaitwa Zainaba Abdallah Issa,ni mkuu wa Wilaya mdogo kiumri kuliko wote Tanzania.Binti Issa ni Mkuu wa Wilaya ya Pangani iliyopo Mkoa wa Tanga.Moja ya changamoto kubwa anazokumbana nazo ktk Wilaya hiyo ni umasikini na ukosefu wa Elimu kwa wakazi wengi wa
Wilaya ya Pangani.
Yeye anakuwa mkuu wa Wilaya wa 21 toka kuanzishwa kwa Wilaya hiyo,na anasema mara baada ya kupangiwa kufanya kazi Wilaya hiyo watu wengi walimueleza kuwa anaenda kuongoza moja kati ya wilaya ngumu sana na iliyotopea kwa umasikini.
Ili kuendana na kasi ya maendeleo,Bi Zainabu ameamua kujikita katika elimu na hasa elimu ya mtoto wa kike,kwani katika eneo hilo elimu kwa watu na hasa mtoto wa kike imekuwa duni sana.Wilaya nzima ina shule za upili zipatazo 30's ambapo alipofika katika shule hizo zote,hapakuwepo na Shule yenye kidato cha tano na cha sita.
Amefanya juhudi za kuanzisha shule ya kidato cha tano na cha sita kwa kufanya upanuzi katika moja ya shule za Wilayani hapo.Miundo mbinu ni tatizo lingine,kwani wilaya hiyo haiunganishwi na maeneo muhimu kama jiji la Dsm.Umbali wa kutoka Pangani kwenda Handeni ni mrefu kuliko kutoka Pangani kwenda Dsm,lkn hakuna miundombinu inayounganisha Pangani na Dsm.
Kwa kushirikiana na mbunge Kijana wa Jimbo la Pangani,Mh.Zainabu A Iss amezindua wimbo wenye kuhamasisha elimu kwa mtoto wa kike ktk Wilaya ya Pangani,kwa kuwahimiza wazazi kutokuwaoza watoto wa kike wakiwa wadogo bali wawasisitize kupata elimu kwa lengo la kuondoa umasikini.
Hongera sana DC Zainabu .A. Issa,Kila la heri ktk kuwaletea wana Pangani maendeleo ya kweli.
yaan hapa ndo nachoka coz nikiwa form 3 yy alikuwa form five jangwan yaan tulikuwa tukienda kwenye debate yy na kikundi chake walikuwa wanajionaa balaaa and i remember alikuwa ana poem inaitwa sijui africa au child of africa sasa nina fanya kazi na nimemaliza chuo nina miaka kibao na alikuwa mbele yangu how com ana miaka 23????????????????????????????SMHhuyu DC hawezi kuwa na miaka 23 jamani mbona tunadanganyana...
Ningeshangaa sana usingekuwepo hapa😀.