Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hekima je?Mpalakugenda,asante kwa uzi.Mimi simfahamu huyu DC.Hata hivyo nina swali dogo kwako-Viongozi huzaliwa na vipaji vya uongozi au hutengenezwa kuwa viongozi?.Ukishanijibu hilo swali nitarudi kutoa comment yangu.
Anaitwa Zainab Abdalah. Ni kweli viongozi huzaliwa na vipaji pia hutengenezwa. Nacho jaribu kuona hapo kwa umri wa 23yrs tena ndani ya chama kikongwe chenye wanachama wengi kuliko chama chochote. Je ni sahihi kwake kupewa u dc,kwa kuzingatia majukumu nav igezo vya Udc?Mpalakugenda,asante kwa uzi.Mimi simfahamu huyu DC.Hata hivyo nina swali dogo kwako-Viongozi huzaliwa na vipaji vya uongozi au hutengenezwa kuwa viongozi?.Ukishanijibu hilo swali nitarudi kutoa comment yangu.
Ahmed salim alipewa ubalozi wa Tanzania inchi misri Aiwa na umri wa 21yrs.Anaitwa Zainab Abdalah. Ni kweli viongozi huzaliwa na vipaji pia hutengenezwa. Nacho jaribu kuona hapo kwa umri wa 23yrs tena ndani ya chama kikongwe chenye wanachama wengi kuliko chama chochote. Je ni sahihi kwake kupewa u dc,kwa kuzingatia majukumu nav igezo vya Udc?
Ahmed salim alipewa ubalozi wa Tanzania inchi misri Aiwa na umri wa 21yrs.
tupiamo ka picha kake basi!
Hapana YEHODAYA, Salim alizaliwa 1942, akapewa ubalozi 1963 akiwa na miaka 21.Salim Ahmed SALIM ALITEuLIWA ubalozi KUWA balozi kamili wa misri akiwa na miaka 19 SIO 21
Ahsante kwa kunirekebisha.Salim Ahmed SALIM ALITEuLIWA ubalozi KUWA balozi kamili wa misri akiwa na miaka 19 SIO 21
Salim AHMED salim ALIANZA KUWA balozi wa CUBA akiwa na miaka 19 halafu akawa balozi wa misri akiwa na miaka 21.Alianza kazi ya ubalozi akiwa na miaka 19 kule CUBAHapana YEHODAYA, Salim alizaliwa 1942, akapewa ubalozi 1963 akiwa na miaka 21.
kipindi hicho wasomi walikuwa wachache tofauti na sasaSalim AHMED salim ALIANZA KUWA balozi wa CUBA akiwa na miaka 19 halafu akawa balozi wa misri akiwa na miaka 21.Alianza kazi ya ubalozi akiwa na miaka 19 kule CUBA
Deputy Chief Representative of the Zanzibar Office based in Havana, Cuba 1961–1962..ubalozi aliuanza mwaka 1964 kule Misri. Somehow you are right my brother.Salim AHMED salim ALIANZA KUWA balozi wa CUBA akiwa na miaka 19 halafu akawa balozi wa misri akiwa na miaka 21.Alianza kazi ya ubalozi akiwa na miaka 19 kule CUBA
kipindi hicho wasomi walikuwa wachache tofauti na sasa