DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

Elimu yake ya chuo kikuu aligraduate akiwa na miaka mingapi?.CV yake tuipate tufahamu uwezo wake wa kuyamudu majukumu ya kazi hiyo ya u-DC.
 
Huyu jamaa anataka kuongeza wake Ili aishi miaka mingi Kama mzee wa ruksa. Jokes
 
Hapa kunayo namna!!! si bure bure! 23! a lady!. serikari ya kichwa changu imekataa!
 
Hivi mkuu udc una kazi ? Walau angekuwa DED au RAS/DAS hao ndo wenye majukumu mengi ya kiutendaji kuliko hao DC/RC , Hivi vyeo vingefutiliwa mbali vipo kwa ajili ya kujenga Chama hamna kingine .
Elimu yake ya chuo kikuu aligraduate akiwa na miaka mingapi?.CV yake tuipate tufahamu uwezo wake wa kuyamudu majukumu ya kazi hiyo ya u-DC.
 
Ukiambiwa umri wake na ukimwona ni vitu viwili tofauti kabisaa,,anaoneka mbibi kinoma. Alafu juzi kati ndo katoa masharti ya mwanaume anayemtaka ili amuoe akasema ni lazima awe Meneja,Mfanyabiashara aliyefanikiwa au mwanasiasa.
 
Salim Ahmed SALIM ALITEuLIWA ubalozi KUWA balozi kamili wa misri akiwa na miaka 19 SIO 21
Wewe ni MUONGO alikuwa na miaka 22 sio 19. Kazaliwa 1942 na kateuliwa kuwa balozi baada ya Muungano 1964.
fda02384a75bcb2fb6a3c30933bc313d.jpg

3a24c0df64ca5399f34ee52fd8021b26.jpg
 
Hazina kweupee lazima jamaa aweze kubuni njia nyingine ya kipato nayo ndo hiyo milioni 7 , wanaoishi kama malaika wanaendelea kupaa na wanaoishi kama mashetani tayari they have rotten in hell.
Jokes iendane na milioni saba mkononi ( na mie jokes)
 
Malezi Ya Salimu A. Salimu huwezi kufananisha na ya sasa. kibinti miaka 21 kutwa facebook na stori za ngono kipewe kazi nzito ya kutatua migogoro ya watu wilaya nzima na kuhamasisha maendeleo ya wilaya?

tuwe wakweli tu 21 yrs bongo hii hata ubalozi hujawahi kuupata. ndo kwanza upo ama unamaliza chuo.
 
Ila wanadamu hatuna wema! wazee wakipewa nafasi za uongozi vijana wanalalamika kuwa serikali imewasahau inapendelea wazee, mara ooooo sisi tutapata lini mauzoefu na maujuzi mara hivi mara vile, sasa leo JPM kaamua kumpa kijana (binti) nafasi ya U DC na yenyewe tena tunaona amekosea! Hivi JPM awabebee kitenge gani,kaniki, cha KTM, cha Morogoro au Wax?????? maana hambebeki

Hao ndo wabongo kila kitu lawama.
 
katiba na kanuni za utumishi wa umma.
 
hakuna uhalisia wa miaka 23 na kuwa DC tanzania.. Amesoma lini, exposure ya maisha na kazi kufikia ngazi ya kuwa DC ameitoa wapi?.. Kama ni kweli ana 23 halafu kapewa UDC anafaa kujitumbua mwenyewe, maana nina uhakika hawezi kuhimili mikikimikiki ya cheo alichonacho labda awe yupo pale kwa ajili ya kukua..maana kwa 98.99% cheo kimemzidi umri. Narudia tena kwa maisha yetu ya kibongo na kiafrica miaka 23 hawezi hata kuwa manager maana kiakili bado ni mchanga kupambana na changamoto...
 
1993 bORN
1999 chekechea
2000 - 2006 Primary.
2007 . 2010 Secondary
2011 - 2012 HIgh scholl.
2013 - 2015 Chuo fulani kikuuu.
2016 - Mkuu wa nani fulani Serikali.

Mungu Ibariki Tanzania.......
Watoto wa Maskini Kalimeni,

Natamani niwe KADA ila natokea Kaskazini na Mshua Hataki Kabisa watu uko.
 
hakuna uhalisia wa miaka 23 na kuwa DC tanzania.. Amesoma lini, exposure ya maisha na kazi kufikia ngazi ya kuwa DC ameitoa wapi?.. Kama ni kweli ana 23 halafu kapewa UDC anafaa kujitumbua mwenyewe, maana nina uhakika hawezi kuhimili mikikimikiki ya cheo alichonacho labda awe yupo pale kwa ajili ya kukua..maana kwa 98.99% cheo kimemzidi umri. Narudia tena kwa maisha yetu ya kibongo na kiafrica miaka 23 hawezi hata kuwa manager maana kiakili bado ni mchanga kupambana na changamoto...

Ivi pale unakuta Kuna mzee Kama Babu ake anamtuma maji itakuaje?
 
Salamu kwenu;
Ni sahihi kweli mtu akishatimiza miaka 18,anaingia katika umri wa utu uzima.
Linapokuja suala la kuwa kiongozi inahitaji zaidi ya kuwafikia tu na umri wa utu uzima.
Kwa mfano,nafasi ya urais ililazimu watu waipiganie iwe kuanzia umri wa miaka 40. Ingawa kwa upande wangu huu umri bado haufai kushika nafasi ya juu kabisa kiuongozi.
Huyu DC,kwa umri wake huo kweli anatosha kuwa mwenyekiti wa baraza la usalama wa wilaya?
Jaribu kuifahamu ile kamati ya ulinzi ya wilaya.
Hata kama ni ukada kwa umri huo sidhani kama ameiva na kupewa hiyo nafasi.
Source; millardayo.com
Nawatakia siku kuu njema za noeli na mwaka mpya 2017
Tunamjua huyu toka anasoma na anaongoza kipindi cha vijana wenzake ITV
Ana miaka zaidi ya 30+
Lkn huwa anapenda sana aonekane kama ana umri mdogo
Typical behavior of Coastal Regions women!
APUUZWE
 
Malezi Ya Salimu A. Salimu huwezi kufananisha na ya sasa. kibinti miaka 21 kutwa facebook na stori za ngono kipewe kazi nzito ya kutatua migogoro ya watu wilaya nzima na kuhamasisha maendeleo ya wilaya?

tuwe wakweli tu 21 yrs bongo hii hata ubalozi hujawahi kuupata. ndo kwanza upo ama unamaliza chuo.
hivi hujaona eenh katoa masharti ya mwanaume anayetaka aolewe nae, anataka mapendesheee
 
Back
Top Bottom