Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
22. Nyakati zake kulikuwa na Wazanzibar wangapi wenye elimu na uzoefu kama wake?Ahmed salim alipewa ubalozi wa Tanzania inchi misri Aiwa na umri wa 21yrs.
Jokes iendane na milioni saba mkononi ( na mie jokes)Huyu jamaa anataka kuongeza wake Ili aishi miaka mingi Kama mzee wa ruksa. Jokes
Elimu yake ya chuo kikuu aligraduate akiwa na miaka mingapi?.CV yake tuipate tufahamu uwezo wake wa kuyamudu majukumu ya kazi hiyo ya u-DC.
Hata sasa hivi wasomi ni wachache kwani wenye PHD wako wangapi.
Wewe ni MUONGO alikuwa na miaka 22 sio 19. Kazaliwa 1942 na kateuliwa kuwa balozi baada ya Muungano 1964.Salim Ahmed SALIM ALITEuLIWA ubalozi KUWA balozi kamili wa misri akiwa na miaka 19 SIO 21
Jokes iendane na milioni saba mkononi ( na mie jokes)
Ila wanadamu hatuna wema! wazee wakipewa nafasi za uongozi vijana wanalalamika kuwa serikali imewasahau inapendelea wazee, mara ooooo sisi tutapata lini mauzoefu na maujuzi mara hivi mara vile, sasa leo JPM kaamua kumpa kijana (binti) nafasi ya U DC na yenyewe tena tunaona amekosea! Hivi JPM awabebee kitenge gani,kaniki, cha KTM, cha Morogoro au Wax?????? maana hambebeki
katiba na kanuni za utumishi wa umma.Ila wanadamu hatuna wema! wazee wakipewa nafasi za uongozi vijana wanalalamika kuwa serikali imewasahau inapendelea wazee, mara ooooo sisi tutapata lini mauzoefu na maujuzi mara hivi mara vile, sasa leo JPM kaamua kumpa kijana (binti) nafasi ya U DC na yenyewe tena tunaona amekosea! Hivi JPM awabebee kitenge gani,kaniki, cha KTM, cha Morogoro au Wax?????? maana hambebeki
hakuna uhalisia wa miaka 23 na kuwa DC tanzania.. Amesoma lini, exposure ya maisha na kazi kufikia ngazi ya kuwa DC ameitoa wapi?.. Kama ni kweli ana 23 halafu kapewa UDC anafaa kujitumbua mwenyewe, maana nina uhakika hawezi kuhimili mikikimikiki ya cheo alichonacho labda awe yupo pale kwa ajili ya kukua..maana kwa 98.99% cheo kimemzidi umri. Narudia tena kwa maisha yetu ya kibongo na kiafrica miaka 23 hawezi hata kuwa manager maana kiakili bado ni mchanga kupambana na changamoto...
Tunamjua huyu toka anasoma na anaongoza kipindi cha vijana wenzake ITVSalamu kwenu;
Ni sahihi kweli mtu akishatimiza miaka 18,anaingia katika umri wa utu uzima.
Linapokuja suala la kuwa kiongozi inahitaji zaidi ya kuwafikia tu na umri wa utu uzima.
Kwa mfano,nafasi ya urais ililazimu watu waipiganie iwe kuanzia umri wa miaka 40. Ingawa kwa upande wangu huu umri bado haufai kushika nafasi ya juu kabisa kiuongozi.
Huyu DC,kwa umri wake huo kweli anatosha kuwa mwenyekiti wa baraza la usalama wa wilaya?
Jaribu kuifahamu ile kamati ya ulinzi ya wilaya.
Hata kama ni ukada kwa umri huo sidhani kama ameiva na kupewa hiyo nafasi.
Source; millardayo.com
Nawatakia siku kuu njema za noeli na mwaka mpya 2017
hivi hujaona eenh katoa masharti ya mwanaume anayetaka aolewe nae, anataka mapendesheeeMalezi Ya Salimu A. Salimu huwezi kufananisha na ya sasa. kibinti miaka 21 kutwa facebook na stori za ngono kipewe kazi nzito ya kutatua migogoro ya watu wilaya nzima na kuhamasisha maendeleo ya wilaya?
tuwe wakweli tu 21 yrs bongo hii hata ubalozi hujawahi kuupata. ndo kwanza upo ama unamaliza chuo.
asante kumbe wamjuaTunamjua huyu toka anasoma na anaongoza kipindi cha vijana wenzake ITV
Ana miaka zaidi ya 30+
Lkn huwa anapenda sana aonekane kama ana umri mdogo
Typical behavior of Coastal Regions women!
APUUZWE