Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,835
- 8,418
Una utahira kichwani?, mzaha wao nikudai haki zao za kusikilizwa... PumbavuHAPANA madereva acha wapate akili.wamezidi mzaha barabarani
Una utahira kichwani?, mzaha wao nikudai haki zao za kusikilizwa... PumbavuHAPANA madereva acha wapate akili.wamezidi mzaha barabarani
Mkuu pointi zenyewe wameweka chache tu ni 15 na wanakata kutokana na kosa utakalolifanya barabarani/gari na Kuna makosa wanakata Hadi point 3 kosa moja🥹sasa chukulia mtu unatokea bandar dar unapeleka mzigo congo kwa miundo mbinu hii mibovu.Naomben mnieleweshe hizo pointing wanazipataje na ukiwa na nyingi eefect yake ni ipi na zikiwa chache effect yake ni ipi? Ponti ni mbadala wa faini au?
Limitation ya pointNaomben mnieleweshe hizo pointing wanazipataje na ukiwa na nyingi eefect yake ni ipi na zikiwa chache effect yake ni ipi? Ponti ni mbadala wa faini au?
Point zikiwa nyingi unafutiwa leseniNaomben mnieleweshe hizo pointing wanazipataje na ukiwa na nyingi eefect yake ni ipi na zikiwa chache effect yake ni ipi? Ponti ni mbadala wa faini au?
😂😂😂Muda ni mwalimu mzuri..
Naomba ile video yake na Gigy niburudike kidogo...
😂😂😂😂Mkuu pointi zenyewe wameweka chache tu ni 15 na wanakata kutokana na kosa utakalolifanya barabarani/gari na Kuna makosa wanakata Hadi point 3 kosa moja🥹sasa chukulia mtu unatokea bandar dar unapeleka mzigo congo kwa miundo mbinu hii mibovu.
NB pointi zikiisha unapokonywa leseni Hadi urudi darasani usome tena na upite kwenye mitihan Yao hata kamo una miaka 40 kwenye udereva imagine Kuna jamaa yangu hata mwezi mmoja hajamaliza amebakiza point 4😀😀
Points zinakatwa Kwa :Mkuu pointi zenyewe wameweka chache tu ni 15 na wanakata kutokana na kosa utakalolifanya barabarani/gari na Kuna makosa wanakata Hadi point 3 kosa moja🥹sasa chukulia mtu unatokea bandar dar unapeleka mzigo congo kwa miundo mbinu hii mibovu.
NB pointi zikiisha unapokonywa leseni Hadi urudi darasani usome tena na upite kwenye mitihan Yao hata kamo una miaka 40 kwenye udereva imagine Kuna jamaa yangu hata mwezi mmoja hajamaliza amebakiza point 4😀😀
Kwenye hizo kadhalika kadhalika hapo ndipo tunapapingaPoints zinakatwa Kwa :
- Over speeding
- Wrong overtaking
- Alcoholism while driving
- Failure to observe Traffic lights
- Driving without valid licence
- Driving defective vehicle
- Kishusha au kupakia abiria kusikoruhusiwa
Nakadhalika Nakadhalika
Point 15, kila kosa inapunguzwa point 1.Naomben mnieleweshe hizo pointing wanazipataje na ukiwa na nyingi eefect yake ni ipi na zikiwa chache effect yake ni ipi? Ponti ni mbadala wa faini au?
Kwa hiyo tuseme madereva hawataki utii wa Sheria hizi? Embu tuwe serious aisee!
Msando apimwe MKOJO ,inaonekana KICHWA CHAKE akipo sawa.Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando ametoa akizo kwa wenye mabasi katika kituo kikuu cha Mabasi Magufuli kuondoa magari yao na kuyapeleka yadi kwao hata kama yana abiria.
Msando ametoa agizo hilo mara baada ya kuwasili katika kituo hicho cha mabasi kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi unaoendelea wakipinga mfumo wa kukatwa pointi.
Bila shaka atakuwa kishapokonywa leseni yake na Dereva mwingine atalazimika kutafutwa amalizie safari!Sio ziongezeke Bali zifutwe kabisa huo utaratibu unamminya sana dereva hebu chukulia dereva anatokea dar anaenda Kongo unategemea Hadi akifika tunduma anakuwa kabakiza point ngapi?