Licha ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kufika Stendi ya Magufuli na kuzungumza na baadhi ya madereva wa mabasi, bado mgomo huo unaendelea, ambapo wahusika wamedai kuwa wanahitaji kukutana na viongozi wa ngazi za juu Serikalini.
Mamia ya abiria wamelazimika kusubiri muafaka wa suala hilo ambalo limeanza leo September 29, 2026 katika stendi mbalimbali nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.