DC Msando afika Stendi ya Magufuli, mgomo bado unaendelea, wasema wanamtaka kiongozi wa juu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Your browser is not able to display this video.
Licha ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kufika Stendi ya Magufuli na kuzungumza na baadhi ya madereva wa mabasi, bado mgomo huo unaendelea, ambapo wahusika wamedai kuwa wanahitaji kukutana na viongozi wa ngazi za juu Serikalini.

Mamia ya abiria wamelazimika kusubiri muafaka wa suala hilo ambalo limeanza leo September 29, 2026 katika stendi mbalimbali nchini.
 
Watu wenye elimu ndogo wanatoa somo kwa vitendo kwa wenye elimu kubwa!!

Lecturer wa UDOM kutwishwa ugaidi hatukuona mshikamano kama huu kwa wasomi wenzie zaidi ya kutiatia huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…