DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.​

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu
simon.odunga.3

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina" mwisho wa kunukuu
Jamani mbona hata Benjamin Mkapa alikua Raisi wa Tanzania , mbona hamumsemei , Kwan magufuli alikua na nn Cha ziada kuzidi Mkapa
 
Mkuu Mama leo alikuwa anazindua Mambo ya msingi ya Kilimo je angeacha Mambo ya msingi na kuja huko chattle na kuacha Mambo ya muhimu ya ustawi wa nchi .!?
Ni bora ungefafanua hivi pale mwanzo ningekuelewa vizuri mkuu.

Lakini uliposema swala la unafiki ndo uliponichanganya kidogo maana Tanzania hakuna mwanasiasa ambae hana sifa ya unafiki, iwe kwa chama tawala au upinzani.
 
Kwani wangeenda alio wataka yy kwenda angefufuka?
Atulie tena Atulie kwa kabisa.
Pia katiba inasemaje kuhusu ilo? Jambo tuanzie hapo kwanza. Mwambieni aende kwa JOB amsimulie kidogo tu. Tena mwenzake alikua muhimili kamili.
 
Ni bora ungefafanua hivi pale mwanzo ningekuelewa vizuri mkuu.

Lakini uliposema swala la unafiki ndo uliponichanganya kidogo maana Tanzania hakuna mwanasiasa ambae hana sifa ya unafiki, iwe kwa chama tawala au upinzani.
Kweli Mkuu pia nilifatilia hotuba yake leo kupitia Tbc Fm alisimamisha hotuba Kama Dk 1 na kumuombea Pumziko la Amani the late Magufuli as well kule Twitter alishare ujumbe wa kumkumbuka so tuendelee kuishi kwa upendo na tusiamini kila anayelia msibani Basi Msiba umemgusa Sana .

Rip John ur Legacy live on.
 
Kwamba akienda ndo anaenda kumfufua au? Waache ujinga!!

RAIS achome kodi za wananchi toka ikulu hadi chaato kwa ajili ya kuombea wafu?

Kwanza yeye siyo mkatoliki na imani yake inawezekana haimruhusu kufanya hivyo!!

Wafu wazike wafu wao wenyewe wasirushe nyani kwenye migongo ya wengine!! Period!!
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.​

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu​

simon.odunga.3

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina" mwisho wa kunukuu
Kumbe ni mku wa Wilaya Mastaafu
 
sukuma gang yameshikwa chin na bado 2025 mnaenda kufutwa kabisa hata udiwani hampat.
As long as tunakubaliana kwa pamoja (CCM na upinzani) kwamba atakaeshinda ni wa CCM basi hilo halina tatizo.

Maana maadui wakubwa wa taifa hili ni nyinyi wapinzani uchwara ambao mnaishi kwa kutumia mfumo wa mwenyekiti wenu Mbowe.
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.​

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu
simon.odunga.3

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina" mwisho wa kunukuu
Upuuzi tu.
Mbona mtu huyu analazimishwa sana kutambulika na Sukuma gang?
 
So ulitaka yule mwendakuzimu aendelee kutafuna kodi zetu huku akiwa kaburini
Muda mwingine lazima ukweli usemwe. Mimi huwa nakubaliana na raisi Samia kwa mambo mengi, na pia sipo upande unaoitwa wa Sukuma gang.

Lakini kwa yaliotokea siku hii muhimu ya kumbukumbu ya raisi aliekuwa tayari kuweka maisha yake rehani kwa ajili ya watanzania wote.

Nasema hapana aisee. Serikali imechemsha na ni bora swala hili wangelitolea maelezo yanayoeleweka.
 
Kweli Mkuu pia nilifatilia hotuba yake leo kupitia Tbc Fm alisimamisha hotuba Kama Dk 1 na kumuombea Pumziko la Amani the late Magufuli as well kule Twitter alishare ujumbe wa kumkumbuka so tuendelee kuishi kwa upendo na tusiamini kila anayelia msibani Basi Msiba umemgusa Sana .

Rip John ur Legacy live on.
Yah ni kweli mkuu sio kila anaefika msibani kulia anakuwa ameguswa na msiba. Wengine ndio wauaji au maadui wenyewe.

Nimekusoma vizur mkuu.
 
Rais ambaye anastahili kupewa siku muhimu ni Baba wa Taifa tu. hao wengini ni wa kawaida tu mbona sisikii siku ya Mkapa. Na CCM hii si yenu ni watanzania wote na siku zenu zinahesabika.Vijana wengi wasomi na wasio na ajira usishangae wakaleta mabadiliko .
 
Kuna kasauti ka ufafanuzi kuhusu kudukuliwa, au inawezekana kanataka kufanana na sauti ya nimekosa mm nimekosa sana. Anyway, ngoja nipuuze tu. Popcorn.....
 
Life goes on siku ya Magufuli aijatangazwa kama siku ya kitaifa so hakuna sababu ya kumlazimisha raisi kwenda Chato au kiongozi yoyote ambae ana ratiba zingine za kazi.

Ila on personal level ‘Bi Tozo’ ameonyesha uungwana, kwa sababu mtoto wake katoka Zanzibar kwenda Chato ni heshima tosha kwa familia ya Magufuli at personal level kawaonyesha yeye binafsi Samia na familia yake wanajali.

Shida ni mafisadi waliotaka kuondoa umuhimu wa hii siku kwa watanzania; wametumia nguvu nyingi sana kuadhimisha miaka miwili ya raisi Samia ndani ya hii siku na zijazo (reverse psychology) lengo lipo wazi ni kumdhihaki marehemu na kutotaka aongelewe kwenye jamii hasa kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom