DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

simon.odunga.3
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina" mwisho wa kunukuu
Thread 'Viongozi wenye tuhuma za Kutesa, kuua, upendeleo na wizi wasienziwe' Viongozi wenye tuhuma za Kutesa, kuua, upendeleo na wizi wasienziwe
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

simon.odunga.3
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina" mwisho wa kunukuu
Kachukia baada ya kuona hakumbukwi kwenye teuzi. Hapa ndiyo kajiharibia kabisaa!

Sukuma gang imekufa mazima, haitafufuka kamwe!
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

simon.odunga.3
"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina" mwisho wa kunukuu
Upuuzi mtupu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina" mwisho wa kunukuu[emoji23]
 
Hivi Jambo dogo kama hili la uwakilishi nalenyewe linazua mjadara?! Shuguri imefanyika nyumbani kwake meaning ni ya kifamilia, rais ana mambo mengi, uwakilishi ulitosha kabisa. Ngoja wenzake wakamjadiri Sasa huko chamani, wakianza na Uvccm kumkana😆😆
 
Huku tunasherehe ya miaka miwili
Kwa kulazimishana tena, eti kwenye mechi ya Yanga kabla ya kuanza itatumika kuelezea mafanikio ya raisi Samia.

Yaani match yenye wanachama wa vyama vyote ndio utumie umati huo kufanya propaganda.

Siwasubiri siku aliyoapishwa rasmi kuwa raisi wakitaka ata wafunge barabara na kuwapa wafanyakazi off no one will care.

Hila ya kujaribu kuondoa thunder kipindi hiki ni kuonyesha wameishiwa na wana wivu mkubwa na mafanikio ya Magufuli aliyoiletea nchi ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom