DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

Kiprotokali yupo sahihi! JPM bado ni Rais hadi achaguliwe mwingine 2025 ujue

Rais Marehemu?. Tuwe na akili Basi. Katiba inasema Rais akifa miaka mitatu kabla ya muda wake awamu yake inakoma.
 
Akienda Rais ndio atafufuka au
Hato fufuka ila mwenacho huongezewa ni tofauti na wewe kufikia hadhi kama hiyo mhhh mybe kizazi chazi Chako Cha mia moja so magufuli ana haki yakupewa heshima zote
 
Watanzania ni watu ambao wako bsy kubishana na kupigania mambo ya kipuuzi.
Hayo mambo ya kumbukumbu yabaki kuwa ya kifamilia na ambaye atataka kwenda. Sasa wanataka eti raisi aende naye anawachora tu...
Sio ujinga unajua nini watu wengi hatufanikiwi kwasababu ya wivu na chuki wewe unaesema hivyo huna chochote Wala lolote mwenzio amefia katika ngazi kuwa zakimadaraka so ni hakiyake kupewa heshima
 
Heshima ya Nini?. Kaacha familia ya saanane ikitaabika , halafu ndio aheshimiwe?
 
M
una watu wanaroho mbaya sana ,mama kwenye list na yeye yupo
Magu ana nini ambacho mkapa Hana!?
 
Sio ujinga unajua nini watu wengi hatufanikiwi kwasababu ya wivu na chuki wewe unaesema hivyo huna chochote Wala lolote mwenzio amefia katika ngazi kuwa zakimadaraka so ni hakiyake kupewa heshima
Heshima kwa marehemu, italeta impact gani? Heshima ni kumuacha apumzike kwa amani sio kwenda kupiga picha kwenye kaburi lake for political mileage.
Hakuna wivu ila ni kwamba watu wengi mko busy kupigania vitu ambavyo kiuhalisia havina faida.
The man is dead heshima za dunia hazimsaidii, huo muda mnautumia kupiga kelele pigeni kelele serikali ifanye yatakayowanufaishi ambao bado wako hai
 
Hi picha halisi ya kuwa binadamu hatunashukurani leo hii samia amepata uraisi wa kwa kubebwa na magufuli lakini ndo kwanza hana habar naye

Alimbeba wapi? Samiah kwa Rais kutokana na katiba.
 
Rais Samia anawachekea sana Hawa ndio maana wanamdharau..

Acha wampe vidonge vyake amewafuga mwenyewe.
 
Kwamba akienda ndo anaenda kumfufua au? Waache ujinga!!

RAIS achome kodi za wananchi toka ikulu hadi chaato kwa ajili ya kuombea wafu?

Kwanza yeye siyo mkatoliki na imani yake inawezekana haimruhusu kufanya hivyo!!

Wafu wazike wafu wao wenyewe wasirushe nyani kwenye migongo ya wengine!! Period!!
Of Course hata wewe utazikwa na wafu wako uko kwenu ila huna hadhi kama aliona nayo magufuli kwaio nihakiyake kupewa heshima wewe Kama kwenu akuna ata kichanga Cha kukupa heshima basi magufuli anatakiwa aeshimiwe na taifa na Wala sio hombi na Wala sio kwa magufuli kwa marais wote
 
Heshima kwa marehemu, italeta impact gani? Heshima ni kumuacha apumzike kwa amani sio kwenda kupiga picha kwenye kaburi lake for political mileage.
Hakuna wivu ila ni kwamba watu wengi mko busy kupigania vitu ambavyo kiuhalisia havina faida.
The man is dead heshima za dunia hazimsaidii, huo muda mnautumia kupiga kelele pigeni kelele serikali ifanye yatakayowanufaishi ambao bado wako hai
Kwa mfano uzinduzi wa leo umekunufaisha nini?
 
Of Course hata wewe utazikwa na wafu wako uko kwenu ila huna hadhi kama aliona nayo magufuli kwaio nihakiyake kupewa heshima wewe Kama kwenu akuna ata kichanga Cha kukupa heshima basi magufuli anatakiwa aeshimiwe na taifa na Wala sio hombi na Wala sio kwa magufuli kwa marais wote

Wewe una hadhi gani mbuzi tu wewe, hata mbuzi ana heshima maana anaweza kuliwa kitoweo,
 
Kwa mfano uzinduzi wa leo umekunufaisha nini?
Kuna sehemu nilipousifia? Mimi napinga mambo yote ambayo hayana impact kwa taifa siko hapa kufuata sijui team samia au team magufuli. Ndio maana utaona thread nyingine namponda lema kukandia bwawa la kufua umeme la magufuli.
Mimi sio mtu wa team.
 
Wewe una hadhi gani mbuzi tu wewe, hata mbuzi ana heshima maana anaweza kuliwa kitoweo,
Mhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawewe unataka kusema mweshimiwa raisi ajae au waziri mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] si nima mbuzi tu sa sijui wakukunia nazi , sijui wakula majani [emoji23][emoji23][emoji23] by the way mbuzi mwenzangu usiteseke na usicho nacho
 
Kuna sehemu nilipousifia? Mimi napinga mambo yote ambayo hayana impact kwa taifa siko hapa kufuata sijui team samia au team magufuli. Ndio maana utaona thread nyingine namponda lema kukandia bwawa la kufua umeme la magufuli.
Mimi sio mtu wa team.
Hakuna mwenye timu na Wala hakuna anaetaka kupinga walio panga ila haikuwa sahihi Wala heshima kwamtu ambae amliongoza taifa hili nakufia akiwa bado anahaki ya kiti chake sio heshima
 
Back
Top Bottom