DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

Hahahah wameanza kuparurana 😅😅 wanaija wanasemaga hivi: as e dey sweet oohh 🏃
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
 
Kwani kuna mtu amemzuia kuenselea kuwa mhafidhina? Hana haja ya kutangaza.
 
Muda mwingine lazima ukweli usemwe. Mimi huwa nakubaliana na raisi Samia kwa mambo mengi, na pia sipo upande unaoitwa wa Sukuma gang.

Lakini kwa yaliotokea siku hii muhimu ya kumbukumbu ya raisi aliekuwa tayari kuweka maisha yake rehani kwa ajili ya watanzania wote.

Nasema hapana aisee. Serikali imechemsha na ni bora swala hili wangelitolea maelezo yanayoeleweka.
Aliweka maisha yake rehani kwaajili ya nani? Nani alikuwa anataka kuyaondoa maisha yake? Yeye ndiye aliyaweka maisha ya watu wengine rehani.

Maadam ametangulia, ukurasa umefungwa.
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
Hi picha halisi ya kuwa binadamu hatunashukurani leo hii samia amepata uraisi wa kwa kubebwa na magufuli lakini ndo kwanza hana habar naye
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
Akina Odunga sio wakenya kweli?! Mmmh? Odinga, Odunga, si hao hao? Halafu mlitaka sijui rais ahudhurie, sijui rais wa Zanzibar au makamu wake, kwani ni sherehe za muungano?!
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
Huyu anamchukuliaje Rais Samia Kwa mfano? Watu dizaini ya huyu ni WA kufinywa Ili washike adabu.
 
Siwezi kuchangia hapa maana sijui utaratibu unatakiwa uweje...
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
Huyu jamaa bado yupo? Alishafukuzwa kumbe.
 
Muda mwingine lazima ukweli usemwe. Mimi huwa nakubaliana na raisi Samia kwa mambo mengi, na pia sipo upande unaoitwa wa Sukuma gang.

Lakini kwa yaliotokea siku hii muhimu ya kumbukumbu ya raisi aliekuwa tayari kuweka maisha yake rehani kwa ajili ya watanzania wote.

Nasema hapana aisee. Serikali imechemsha na ni bora swala hili wangelitolea maelezo yanayoeleweka.
Vichekesho vingine....hivi kila mtu akisema afanye kumbukumbu ya ndugu waliofiwa si utakuwa kelele nchi nzima
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
Nilijua tu wataambulia aibu.
 
Back
Top Bottom