DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
Huyu DC alikuwa mmojawapo wa watu wakatili enzi za mwendazake asituambie chochote
 
CCM wengi hawaja furahishwa na mwendo wa bibi mkubwa kwa upinzani
SIO KWELI SISI CCM TUMERIDHIKA, KWANI NGAZI YA WAZIRI WA ULINZI NI NGAZI KUBWA TOFAUTI NA INAVYOFIKIRIWA,
#CHUKI_BINAFSI, WAS THE CASE!
DR. SAMIAH, SONGESHA MBERE SISI WAELEWA WE KNOW IN AND OUT!
Binafsi bado namlilia BWM kwani moyo unaniambia kifo chake hakikuwa halali.
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.
DC ni mtu mkubwa na muhimu.

Akisema hivyo ujue wapo waliokaribu na namba moja nao wamekerwa.

Shughuli ya jana ingepangwa siku kama ya leo ingependeza sana.

Mama hana excuse ya hiki wanachomfanyia kipenzi cha Watanzania. Mara nyingi ubaya haulipi
 
SIO KWELI SISI CCM TUMERIDHIKA, KWANI NGAZI YA WAZIRI WA ULINZI NI NGAZI KUBWA TOFAUTI NA INAVYOFIKIRIWA,
#CHUKI_BINAFSI, WAS THE CASE!
DR. SAMIAH, SONGESHA MBERE SISI WAELEWA WE KNOW IN AND OUT!
Binafsi bado namlilia BWM kwani moyo unaniambia kifo chake hakikuwa halali.
Nyie CCM wangapi.

Mimi ni CCM na ninasema waziwazi chama kimeasisi project ya kumchafua JPM. Mkutano mkuu uliopita sote tumeona kupitia TBC mzee Makamba akiongoza mashambulizi na chama kimekaa kimya.
 
Huyu DC alikuwa type ya sabaya akipewa kiburi na mwendazake alijiamini Sana ikiwemo kupiga watu, mwendazake alipoondoka akapigwa chini kama hapi
 
Nyie CCM wangapi.

Mimi ni CCM na ninasema waziwazi chama kimeasisi project ya kumchafua JPM. Mkutano mkuu uliopita sote tumeona kupitia TBC mzee Makamba akiongoza mashambulizi na chama kimekaa kimya.
"UKWELI UKISEMWA MNAITA KUCHAFUA"HUYO JAMAA ALIKIHARIBU NA KUKINAJISI CHAMA CHETU NA HUU NDIO UKWELI, WANACCM WOTE TULIMCHUKIA KWELI KWELI.(lakini tukimwonyesha nidhamu ya uongo)
#Pia tunasikitika kwa kifo cha ghafla cha MKAPA, kwani ndiye aliyesimama kwa kukisimamia chama kwa wakati ule!
#Tunamashaka!
 
"UKWELI UKISEMWA MNAITA KUCHAFUA"HUYO JAMAA ALIKIHARIBU NA KUKINAJISI CHAMA CHETU NA HUU NDIO UKWELI, WANACCM WOTE TULIMCHUKIA KWELI KWELI.
Nuhu alimlaani mwanae ambaye ni baba wa Kushi ambayo ni Afrika pale alipouona ukweli wa matokeo ya pombe na akaenda kuwajulisha nduguze kuhusu ukweli huo......
Mwanzo 9:21
akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.

Mwanzo 9:22
Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.

Mwanzo 9:23
Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

Mwanzo 9:24
Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.

Mwanzo 9:25

Akasema, <br>Na alaaniwe Kanaani; <br>Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.

Akili haiuzwi dukani
 
Kwani Katiba inasemaje ?
Ila nikikumbuka tumepitia mengi sana😭😭😭
Mungu mubariki Rais wetu SSH.
 
Life goes on siku ya Magufuli aijatangazwa kama siku ya kitaifa so hakuna sababu ya kumlazimisha raisi kwenda Chato au kiongozi yoyote ambae ana ratiba zingine za kazi.

Ila on personal level ‘Bi Tozo’ ameonyesha uungwana, kwa sababu mtoto wake katoka Zanzibar kwenda Chato ni heshima tosha kwa familia ya Magufuli at personal level kawaonyesha yeye binafsi Samia na familia yake wanajali.

Shida ni mafisadi waliotaka kuondoa umuhimu wa hii siku kwa watanzania; wametumia nguvu nyingi sana kuadhimisha miaka miwili ya raisi Samia ndani ya hii siku na zijazo (reverse psychology) lengo lipo wazi ni kumdhihaki marehemu na kutotaka aongelewe kwenye jamii hasa kipindi hiki.
Aongelewe kwa kipi wakati ameshakufa? Akiongelewa itasaidia nchi nini?
 
Sio ujinga unajua nini watu wengi hatufanikiwi kwasababu ya wivu na chuki wewe unaesema hivyo huna chochote Wala lolote mwenzio amefia katika ngazi kuwa zakimadaraka so ni hakiyake kupewa heshima
Ulishapata mchumba??
 
Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina
Anazungumzia kifo au anazungumzia maridhiano? Yeye ni mwana CCM? Basi huko ndani Kuna fuka moto
 
Huvi maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mkapa hua ni lini? Hii nchi tuache kua na double standards.... Mtu ashakufa imeisha hiyo atakumbukwa na ndugu na familia yake inatosha.
 
Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa wilaya mstaafu amesema nanukuu

"Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi Tena Waziri Hilo HAPANA. Palitakiwa aidha Rais mwenyewe, Makamu wa Rais, Rais wa Zanzibar au Makamu wake, Waziri Mkuu au Rais Mstaafu tofauti na hapo suala hili halijapewa portfolio inayokubalika na nasema waziwazi mwambieni Mheshimiwa Rais hajatutendea Haki na ametuudhi Sana Wana CCM na asifikiri maridhiano yake yanatuhusu hayo ni yake na tutabaki kuwa mahafidhina"

Mwisho wa kunukuu.

Hahaaahaa, aisee
 
Back
Top Bottom