DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

TCU na si NACTE
 
Kusoma Form six siyo lazima ila inategemea na system ya elimu uliyopita.

Mfano: Kuna watu hawatumii mtaala wa NECTA hao huwezi kuwalazimisha wapite form six,

Je, Mchopanga kasoma mtaala tofauti ?

Kuna watu baada ya form 4 hupitia njia za vyuo vya kati ( cheti, diploma, bachelor ). Je kapita mfumo huo ?

Kama hajapita mfumo uliopo na unaoleweka hio ni fraud kama fraud nyingine.

Halafu unaleta upumbavu eti Kenya wanaishia form 4 mbona hujasema, Kenya wanasoma mpaka darasa la 8 huku sisi ni darasa la 7 ?
 
yaani ni bora kama huna uwezo wa kusoma ulaya ukasoma hapa hapa tu.

Kenya, South Africa, Uganda pia ni better options.
Hakuna cha bora kusoma Ulaya wala wapi kote hovyo tu. Mbona waliosoma huko koote hatuoni maajabu yao?

Msomi gani ana maajabu nchi hii?
 
Cheo cha DC hata mtu ambae hajaenda shule anaweza kupewa, it is not a professional post!
 
Hakuna cha bora kusoma Ulaya wala wapi kote hovyo tu. Mbona waliosoma huko koote hatuoni maajabu yao?

Msomi gani ana maajabu nchi hii?
Huoni maajabu yao kwenye maisha yao, yako au wapi ?

Unawajua kina Mufuruki, Mo Dewji ?
 
Acheni wivu. Wote mliosoma hamna kitu kipya kicwani ndiyo maana inakuwa ngumu kuwatofautisha na mchopanga.
 
Acheni wivu. Wote mliosoma hamna kitu kipya kicwani ndiyo maana inakuwa ngumu kuwatofautisha na mchopanga.
Wewe jamaa ni taahira. Siko hapa kusema kama huyo DC anafaa au hafai. Masuala ya uteuzi anayajua aliyewateua, na hakuna details sifa za mtu kuwa DC.

Hapa tunazungumzia elimu.
 
Dah, umeongea ukweli mtupu mm nimesoma DIT yaani full kukaririshwa tu madesa, laiti ningekuwa na uwezo wa kifedha nisingekubali kusoma bongo
Ninavyofahamu mimi engineering ni almost hesabu tupu sasa wewe ulikaririshwaje? Mtu anakaririshwa kusolve mfano integration? Hivi bila kusoma nadharia kwanza huo ufundi utauelewaje au ufundi kwako ni kurepair vitu vilivyoharibika tu bila kujumuisha pia design?

Watu mafundi wa kulaumu tu lakini hawawezi kutoa solution nini kifanyike.

Ukimaliza levo fulani ya elimu bila kuwa na uelewa wa ngazi hiyo wa kulaumiwa ni wewe sio chuo.
 
Hivi kwani ili uwe DC unahitaji kuwa na Degree??
 
Hapa tunazungumzia elimu.
Itakuwa hujui maana ya elimu. Rudi shule...

Yaani unasema aliyesoma hapa bongo hadi form 4 halafu akaenda nje kuchukua shahada huyo hajaelimika kwasabb hajasoma form 6?

Elimu humpa mtu maarifa. Kwahiyo unataka kusema maarifa yote yamefichwa form 6???

Mlienda shule kupata connection za ngono tu.
 
Sasa unataka matajiri wawili ili kuonesha kwamba elimu imewasaidia kutajirika? Acha kupotosha.
Unataka nifanye sensa kwamba wasomi wangapi wana mafanikio ?
Mbona huwataji akina Bakhresa Kishimba, Msukuma, Paul Nhwani, n.k
Huyo Bakheresa umeshapita kwenye website yake ( bakhresa.com ) uone wanaoendesha makampuni yake wana elimu gani na wamesoma wapi ?

Kwa taarifa yako angekuwa yeye ndio bado yuko front kwenye uendeshaji mpaka sasa angekuwa anaendesha Azam mgahawa.

Musukuma ni mtu aliepata bahati nasibu kwenye dhahabu, kitu ambacho kingeweza kumwangukia mtu yeyote bila kujali elimu yake.

Lakini utajiri wa kisomi kama wa Co-founder wa Kopagas hauwezi kuanguka kwa mtu kama Musukuma.
 
Huna akili.
 
Wasomi wa kibongo hawana kitu. Labda kama kuna bongo nyingine ktk sayari hii
 
Wewe mwenye akili una nn Cha tofauti? Taja kampuni ama kiwanda unachhomiliki. Au unamiliki comments za jamiiforums?
Siku nyingine usiwainamie watu ukifikiri kwasababu ni wasomi watakuacha. Utapelekewa motooooo🔥🔥🔥🔥🔥

Peleka moto🤣🤣🤣
 
Siku nyingine usiwainamie watu ukifikiri kwasababu ni wasomi watakuacha. Utapelekewa motooooo🔥🔥🔥🔥🔥

Peleka moto🤣🤣🤣
Haya Sasa. Huu ndiyo usomi wako Sasa? Umeishiwa hoja msomi uliyesoma mpk form 6 Kisha ukaenda chuo. Umeanza matusi.

Nimekupa challenge kwamba kama wewe ni msomi kweli una nini kinaonesha usomi wako?
 
Haya Sasa. Huu ndiyo usomi wako Sasa? Umeishiwa hoja msomi uliyesoma mpk form 6 Kisha ukaenda chuo. Umeanza matusi.

Nimekupa challenge kwamba kama wewe ni msomi kweli una nini kinaonesha usomi wako?
Unataka niorodheshe humu nina nini?
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…