Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye mkutano wa hadhara alipotakiwa kutoa maelezo juu ya kikundi cha watu wanaoingia kuchimba madini ya dhahabu kwenye eneo la chuo hicho bila kuwa na leseni halali.
Kufuatia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha akaagiza mkuu huyo wa chuo aondolewe kwenye nafasi ya ukuu wa chuo hicho cha madini kutokana na utovu huo wa nidhamu.

Kuna shida hapa kwa mteule sio bure haiwezekani azarauriwe kiasi hicho,juzi tumemuona kwenye vyombo vya habari akigombana na meneja wa Gpsa leo hii tena anagombana na mkuu wa chuo
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye mkutano wa hadhara alipotakiwa kutoa maelezo juu ya kikundi cha watu wanaoingia kuchimba madini ya dhahabu kwenye eneo la chuo hicho bila kuwa na leseni halali.
Kufuatia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha akaagiza mkuu huyo wa chuo aondolewe kwenye nafasi ya ukuu wa chuo hicho cha madini kutokana na utovu huo wa nidhamu.
Mkuu wa Mkoa Naona ni tatizo , huyu ni Mtendaji ambaye hata kabla ya kuja kwa wananchi angeeza kuongea naye Ili yasitokee . Ila huyu mkuu wa Mkoa kafanya haya
1. Kagombana na kapuya foundation
2. Meneja Gpsa
3.chuo Cha madini
Mnajitutumua na vyeo vya kuteuliwa kwa sababu ya ukada! Na huku wananchi tukiwa tumeshavikataa kitambo kwenye Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, kutokana na ukweli kwamba hivyo vyeo vimepitwa na wakati!
Nijuavyo uteuzi wa mkuu wa chuo (kama ni cha seriali) unafanywa na Rais. Inashangaza mkuu wa mkoa/wilaya kumuagiza Rais atengue uteuzi wake. Nafikiri wa kutenguliwa ni wao kwa kosa la ‘insubordination’