DC Nzega aagiza kukamatwa kwa mkuu wa chuo cha madini kwa kumdharau RC Tabora

Simu za nje ya muda wa kazi??? Kama mnaendesha nchi bila kufata sheria,kanuni na taratibu hayo ndo matunda ya kazi ya mikono yenu.

Tofautisha uzembe na uzwazwa.Ingekuwa amefanya vitu vya ajabu muda wa kazi sheria zipo.Hizo drama na makamera hayana afya kwakua hayatatui matatizo ya kweli ila kuzidisha viburi na kutowajibika kwa watumishi.
Ndugu naomba nikuambie vitu vifuatavyo.
1. Ukishakubali kuwa mwajiriwa lazima ukubali kuwa mtiifu kwa mwajiri kama ni serikali au sekta binafsi na kwa bosi wako sio ombi, kama hutaki kajiajiri ujipangie muda na protocol zako binafsi, ndo maana chain,authority and artitect of power . Magufuli alipractise vizuri sana na mzee mkapa.
2. Yule bwana hajapigiwa simu kila siku ni emergency na emergency kazini zipo sasa kama hataki kuwa flexible nadhani katibu mkuu angetakiwa ampumzishe wampe mafao yake kwa retrenchment process biashara iishe na iwe model and ethics alert kwa entire system au team. Enzi hizo nipo kikazi Geita Magufuli alikuwa anaweza akapiga simu saaa saba usiku anataka data fulani kabla ya saa tisa usiku na zilikuwa zinapatikana, na ilikuwa ukiwa upo puncyual kuna siku anamwambia RC , RAS jiamulieni masaa ya kupumzika kwa sababu kuna saa mnapiga kazi extra kesho mnajiamulia kupumzika , maisha simple lakini discpline ilikuwepo haswa, alishawahi kutua saa 12 jioni, akafanya vikao mpka kaa 11 asubuhi Rais wa nchi.
3. Tatu kwa wafanyakazi wa serikali kawaida unatakiwa uwe standby muda wote ndo maana zamani most efficient goverment sytems of operations ilikuwa key employees lazima wakae kwenye Gorverment campus , mfano madaktari , kulikuwa na nyumba za madaktari, polisi , wanajeshi, walimu , idara ambazo hawakuwa na myumba ni zile tu zisizo na udharura , Nia ilikuwa ukihitajika kwa dharura hata kama hupokei cm utafuatwa nyumbani uende kazini

Kwa hiyo huyu bwana ana makosa makubwa sana na ningekuwa RAS leo hii au katibu mkuu ningeshamtengua rasmi, nipo nvhi za watu huku toka 222 lakini naona utafauti sana wa discpline kwa wenzetu
 
Huyo unayemsema yuko wapi??? Tena watu wamerudi kwenye business as usual. Wewe kama ni muumini wa mikurupuko keep it by yourself ila ili hii nchi iyende mbele inahitaji kazi zifanywe ki mifumo au kitaasisi.

Mambo ya mtu kwa utashi wako atake watu waamke saa tisa usiku wakufukunyulie data hiyo haipo na utapelekea system kuwa compromised.Kesho usipokuwepo mambo yanarudi kulekule.Haya niambie faida yake nini ukitoa political millage.

Emergency zipi hizo mtu mmoja yeye kila siku anagombana na watendaji wake??

Kuwa na vyeo haiwafanyi muanze kupractise kwa utashi wenu binafsi au kuwafanya muwe juu ya sheria.Vyeo ni dhamana.

Kila siku watu wanapigia chepuo kutengenezwe system na nchi iendeshwe kwa mifumo na sio kauli za wanasiasa.Hii itapunguza mikwaruzano na mgongano wa kimaslahi na kesi mahakamani kama zile za kuvunja mikataba ya madini ambayo leo hii zote nchi imepigwa chali na imetutoka pesa kibao kulipia fidia😀😀😀
 
Huyo unayemsema yuko wapi??? Tena watu wamerudi kwenye business as usual. Wewe kama ni muumini wa mikurupuko keep it by yourself ila ili hii nchi iyende mbele inahitaji kazi zifanywe ki mifumo mambo ya mtu kwa utashi wako atake watu waamke saa tisa usiku wakufukunyulie data hiyo haipo na utapelekea system kuwa compromised.Kesho usipokuwepo mambo yanarudi kulekule.Haya niambie faida yake nini ukitoa political millage.

Emergency zipi hizo mtu mmoja yeye kila siku anagombana na watendaji wake??

Kuwa na vyeo haiwafanyi muanze kupractise kwa utashi wenu binafsi au kuwafanya muwe juu ya sheria.Vyeo ni dhamana.

Kila siku watu wanapigia chepuo kutengenezwe system na nchi iendeshwe kwa mifumo na sio kauli za wanasiasa.Hii itapunguza mikwaruzano na mgongano wa kimaslahi na kesi mahakamani kama zile za kuvunja mikataba ya madini ambayo leo hii zote nchi imepigwa chali na imetutoka pesa kibao kulipia fidia😀😀😀
Kweli hayupo lakini nchi iliwajibika ndo maana ukiangalia matokeo ya maendeleo na alama aliyoacha nadhani hata Nyerere aliyekaaa miaka 24 hawezi kuifikia ukiondoa kutuunganisha na kutujengea umoja watanzania na kukomboa nchi za kusini mwa Africa.

2. Mimi Naifahamu Tanzania na Watanzania sana , ukiona kiongozi anagombana na watendaji mara nyingi ni kiongozi mzuri watendaji wanamlazimisha afuate ana akubaliane na uzembe wao. Mifano ni mingi sana, Leo Makonda alimsimamisha tu yule dada Longido kwa wizi wa Bilioni 1 kelele kibao, alipokuwa mwenezi alianza kuwabana watendaji nadhani wazembe wakamshauri mama amteme ampe nafasi isiyo na maamuzi makubwa ya kuwagusa wao, Majaliwa enzi za mwendazake alikuwa strict leo kapooza na hawezi tena kufanya maamuzi, Lowassa enzi waziri mkuu miaka miwili tu lakini watendaji nchi nzima walinyooka wakamtengenezea zengwe na ajali ya kisiaasa .mifano ni mingi TANZANIA ukiwa smart and strict utaundiwa mizengwe sana kama wewe hapa unavyoshauri unataka kila mtu awe mzembe tuendeshe nchi kishosti , Tutachelewa sana na ndo chanzo cha watu kuichukia serikali awamu ya nne , Rais alikuwa mwema sana na Rafiki kwa wote huku akiwa na aibu ya kuchukua hatua , watendaji wakamfanya kitu mbaya ccm iliponea chupuchupu kuondolewa , nadhani iliondolewa ila wakatangazwa washindi.
Kwenye makinikia TANZANIA ILISHINDA kabisa kwa sababu ushihidi ulikuwepo ila kwa sababu ile ni biashara kubwa mwendazake alipoondoka tu sheria za mikataba ni biashara kubwa sana nadhani nguvu kubwa na rushwa imetumika huko kutushinda ila uhakika asilimia 122 MWENDA ANGEKUWEPO tungetumia lawyers wetu wa UDSM na wengine wengi na tungeshinda kesi zote hakuna pale kesi ngumu hata mmoja ni michezo na inajulikana

3 Waafrica tuamke tunachekwa mno tuna kila kitu cha kutufanya sisi kuwa donnor countries ni kusimamia tu tulivyonavyo na kuziba kupunguza ubadhirifu, wizi na uzembe.

4. IKITOKEA BAHATI MBAYA SANA NIMETEULIWA KUWA RAIS ( NARUDIA BAHATI MBAYA MAANA SIJAWAHI KUWA MWANASIASA HATA KUWA BALOZI WA SHINA) cha kwanza wiki ya kwanza tu ofisini ni kupeleka muswada wa kunyongwa na kufungwa maisha wazembe na wezi na hukumu ya kunyongwa iwe siku 30 tu baada ya rufaaa na iwe hadharani vyombo vya habari viruhusiwe kurusha kama ilivyokuwa kwa saddam hussein.
Nakuapia miaka 5 tu tutaongoza Africa kwa GDP na kwa per capital income
 
Hayo mahaba niuwe yako ndo nyie mkipewa nafasi za uongozi mnataka kuwa miungu watu.Mnajiona na kujitukuza kwamba nyie mnaakili sanaaa mwishowe mnaharibu.

Maendeleo yapi unazungumzia,hayo madaraja na reli au maendeleo yapi??Unasahau maendeleo yanatakiwa yaende sambamba na maendeleo ya mtu mmojammoja.Leo hii barabara za mwendo kasi zimekamilika ila mradi umejifia kifo cha mende.Treni ya umeme ipo ila wanataka kuleta za deasel.Umeme bwawa la nyerere upo ila bado unit za umeme bei iko juu.Maendeleo gani unazungumzia???.

Waalimu hawana ajira mpaka wanaungana(NETO)wanaenda kusema kwenye vyombo vya habari.Au maendeleo ni kwenda kuachia machinga wazagae kwenye zile barabara pale ilipo STANDI YA MAGUFULI???

MAENDELEO NI GRADUATES WA DEGREE,DIPLOMA KUWA BODABODA.AU MAENDELEO KWAKO NI VITUO VYA REDIO NA TELEVISHENI KUTANGAZA MPIRA NA KAMARI 24/7/365 DAYS KATIKA MWAKA NA KILA MTU MPAKA VIONGOZI NAO WANAONA SAWA TU??!!!!

EBU TUAMBIE MAENDELEO UNAYOYAZUNGUMZIA NDUGU MTANZANIA.

Endelea kuota hivyo hivyo na hata kwa bahati mbaya ukafanikiwa kuwa unavyoota ukae ukijua ukija mjini uporipori unauacha pale KIBAHA-MPAKANI Kuanzia pale njia nane zinapoanzia, kuje mpaka magogoni huku wapo wastaarabu😀😀😀😀.Nchi yoyote inaendeshwa kwa mifumo wewe njoo na maono yako ila kaa ukijua kuna mifumo🤝
 
SAWA NASHUKURU NI KWELI MPORIMPORI ninayezunguka sana duniani, Ninachijivunia kila nilipoita niliacha alama kweli kweli, ndo maana wenye mamlaka baada ya 21 September wakaamua kunizungusha duniani labda nitarudishwa 2030
na kustaafu bado sana mpka 2043 na uzuri najifanyia ujasiriamali wangu wa kimataifa kwa furaha maana siwezi kuvumilia uzembe.
1. Nakushangaa unaongelea mfumo gani ambao serikali hauna shida sio mfumo shida ni ubadhirifu, uzembe na wizi basi.
2. Kwa dira na vision Tanzania ni moja ya nchi bora sana duniani kwa kujua kuandikaa maandiko bora balaaa shida ilikuwa utekelezaji.

Narudia kukupa mifano miwili tu rahisi maana nakuona mzito sana kuelewa.

1. 2000 - 2005, Ujambazi wa silaha ulikuwa kawaida sana, barabara kuu zote magari yalikuwa yanatekwa mchana, na usiku, hadi kiwanda cha kilombero kilitekwa lakini mifumo ya polisi na usalama ilikuwepo lakini kwa nini ujambazi ulishamiri ? pamoja na wizi wa magari? 2005 to2015 kikwete alikemea kwa mifumo hiyo hiyo ukapungua ule mkubwa ukabaki kwenye majiji , lakini ujangili ukashamiri sana ilikuwa kilio nchi nzima tembo wanaisha hakuna hatua kali na mifumo ilikuwepo, mabenki ilikuwa mlimani city unachukua hela unapigwa risasi mchana kwa mifumo hiyo hiyo.
Akaja JPM akauliza mara nyingi inakuwaje jambazi anaishinda serikali na polisi? watu wale wale mifumo ile ile walimaliza majambazi kwa mkono wa chuma na mpaka leo magari mabasi yanasafiri masaa 24, sasahivi kariakoo mtu anapeleka benki milioni 200 bila uoga, narudia watu wale wale mifumo ile ile ila msimamizi wa mfumo tu ndo alikuwa anajua wajibu wake, IGP mangu alishawahi kusema hawaruhusu mabasi usiku kwa sababu polisi hawana uwezo na askari wa kulinda nchi nzima. akatunguliwa chap. ningekuwa mimi ningechukua hatua zaidi kwa sababu majambazi hawazidi mia 2 nchi nzima kwa nini msiwaue usumbufu uishe? na atakayechukua rushwa ya jambazi lazima anyongwe ukibainika hata uwe na cheo gani.

Mfano wa pili . Nchi nzima CT scan zilikuwa mbovu , kumbe ulikuwa mchezo wa watu leo kote zinafanya kazi na kwa taarifa yako nimeshiriki kuwakamata madaktari zaidi ya 30 waliohujumu na walinyea ndoo .

3. juzi wahindi wameshikwa wanahujumu reli wamenunua nyaya za SGR nimesikitika sana kufunguliwa kesi za wizi wakati wangetakiwa kuwa na kesi ya uhujumu uchumi na wanyongwe haraka maana wamekutwa na ushahidi , hakimu, au mtumishi wa dpp yeyote au polisi atayeshiriki kupoteza ushahidi anyongwe haraka mno period
 
Nyie wazee mstaafu mmejaa maneno mengi bila vitendo.Hivi leo mtu ahangaike na kuiba kwa bunduki aache kutumia mfumo ambao unaloopholes kibao.

Watu gani hao wanaoandika mipango ya maana.Aunamaanisha hawa wenye PhD za kununua.

Hii nchi mmelila sana mnatuachia mifupa.Na hamuoni aibu mnajisifu maendeleo hewa na uchumi wa makaratasi.Miaka zaidi ya 60 ila bado nchi ipo kwenye lindi la asikini.
 
Back
Top Bottom