DC Nzega aagiza kukamatwa kwa mkuu wa chuo cha madini kwa kumdharau RC Tabora

DC Nzega aagiza kukamatwa kwa mkuu wa chuo cha madini kwa kumdharau RC Tabora

Huyo rc naye inaonekana anachangamoto
Nchi hii ya kusadikika kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Vitu kama hivi huwezi kuviona public ila sehemu ambapo kila mtu anaGODIFAZA wake mambo huwa ni kutambiana na kudharauliana.
 
Hahahaha unamuweka lockup kwa Sheria ipo?
Kwahiyo ukimdharau RC au DC basi wanabaki kisheria yakukuweka lockup?

Zipo taratibu za kumuadhibu mtumishi mtovu wa nidhamu, hizo ndio taratibu?
Nchi imetamalaki kwa ujinga uliotukuka.Kama wakubwa hawaheshimu sheria taratibu na kanuni za sehemu za kufanyia kazi.

Wasitegemee wanaowaongoza huko chini wakawa na busara katika maeneo yao ya kazi na utendaju bora.Huko vyuo vya uongozi huwa wanafundishwa nini hawa watu???.
 
Acheni ushabiki, uruhusu watu wachimbe madini eneo la serikali bila vielelezo, halafu uendelee kw cheo chako! Yaani mkeo, agawe mbuzi/ ng'ombe kwa mtu pasipo ruhusa yako, halafu umhoji hakupi majibu, usimuelekeze aripoti kwa wazazi wake!

Sasa tukiishi kwenye jamii isiyo na utaratibu, tutakuwa na tofauti gani na nyumbu!
Unajua sheria ya madini inasemaje??
hata hapo kwako unapoishi kukundulika na madini watu watakuja kuchimba,sasa sidhani ukiulizwa waliokuja kuchimba hapo wana leseni au hawana sijui utajibuje.
Sio jukumu la huyo Mkuu wa chuo kujua kama hao wanaochimba hapo wana leseni au hawana.
 
Acheni ushabiki, uruhusu watu wachimbe madini eneo la serikali bila vielelezo, halafu uendelee kw cheo chako! Yaani mkeo, agawe mbuzi/ ng'ombe kwa mtu pasipo ruhusa yako, halafu umhoji hakupi majibu, usimuelekeze aripoti kwa wazazi wake!

Sasa tukiishi kwenye jamii isiyo na utaratibu, tutakuwa na tofauti gani na nyumbu!
Acheni kuficha madhaifu yenu, hapo alijibu "mamlaka zitakuwa na majibu sahihi". Kwahiyo ni dhahiri yeye ni mbuzi wa kafara. Na mpaka apate guts za kujibu hivyo ukute aliona anaangushiwa jumba bovu na hao "mamlaka".
 
Kumanyoko zao!!
 
mimi simjui in person lakini napenda sana anavyoweka discpline ya watumishi wa mkoa wake
Huo ni ushamba kama alivyokuwa anafanya Magufuli,yeye alishindwa vipi kumuita huyo jamaa Ofisini akapata ufafanuzi kisha aende kwenye hadhara kuongea na Wananchi.
 
Kuna shida hapa kwa mteule sio bure haiwezekani azarauriwe kiasi hicho,juzi tumemuona kwenye vyombo vya habari akigombana na meneja wa Gpsa leo hii tena anagombana na mkuu wa chuo
Ana inferiority complex.Hata ongea yake ni kana kwamba anataka kutambulika.Huyu wanyoe akalee wajukuu mpaka umri huo bado hajazoea uongozi.
 
Nijuavyo uteuzi wa mkuu wa chuo (kama ni cha seriali) unafanywa na Rais. Inashangaza mkuu wa mkoa/wilaya kumuagiza Rais atengue uteuzi wake. Nafikiri wa kutenguliwa ni wao kwa kosa la ‘insubordination’
Hii nchi uongozi umelawitiwa😀😀😀

📌No chain of command kila ntu ni mbabe.
 
Huo ni ushamba kama alivyokuwa anafanya Magufuli,yeye alishindwa vipi kumuita huyo jamaa Ofisini akapata ufafanuzi kisha aende kwenye hadhara kuongea na Wananchi.
Ndo wafanyavyo hivo ili kuonekana wanatenda kazi.Yamkini wamesahau kuwa watz wa leo wameelimika na ni waelewa wanajua kutenga pumba na mahindi.Tumebaki nacwajingawajinga kadhaa ndio wanashabikia hizi comedy.
 
Watanzania tubadilike huu sasa ni upumbavu.
Wakati mwingine bora tuonje kile wanachokionja wakongo ili ufahamu wetu urudi.
 
Mkuu wa wilaya au wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa eneo lake ana mamlaka kikatiba ya kumhifadhi mtu yeyote isipokuwa mteule wa Rais tu kwa masaa 44
Abuse of power.Hivyo vyeo vya kichawa vifutwe.Yaani mtu hana hata utaalamu wa sheria.Yeye kwa mihemko yake aweke watu ndani😀😀😀busara na hekima inaitajika kwenye vyeo kama hivi.Hata kama sheria inamruhusu huwezi ukatumia hiyo kama fimbo kutisha watu kuwaweka ndani thats total sarvage way of life!!!

Uafrika ni unyani.Afrika imelaaniwa!!!!
 
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye mkutano wa hadhara alipotakiwa kutoa maelezo juu ya kikundi cha watu wanaoingia kuchimba madini ya dhahabu kwenye eneo la chuo hicho bila kuwa na leseni halali.

Kufuatia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha akaagiza mkuu huyo wa chuo aondolewe kwenye nafasi ya ukuu wa chuo hicho cha madini kutokana na utovu huo wa nidhamu.

View attachment 3242769
walitakiwa waweke clip nzima ili tujue pande zote mbili. kuweka upande mmoja wamejipendelea.
 
Hajamdharau,ni kwamba jamaa alikosa majibu eti hilo ni kosa la kumuweka ndani,mi nazan la kumtoa kwenye ukuu wa chuo lilitosha
kuambiwa ujieleze pale mbele ya kadamnasi sio sahihi, kuna mengi unaweza usieleze kwenye kadamnasi. mtu anayekuambia ujieleze kwenye kadamnasi huwa amedhamiria kukudhalilisha, kwa ofisi za serikali, angemwita ofisini tu apate majibu au amwelekeze ampatie majibu ya maandishi. alichofanya ni udhalilishaji ambao hata jiwe aliupenda sana, watu kama hao ni wale wanapenda sifa kwa wananchi kwa gharama ya kudharau wengine, mwingine adharaulike ili yeye apate sifa. sio jambo jema.
 
Abuse of power.Hivyo vyeo vya kichawa vifutwe.Yaani mtu hana hata utaalamu wa sheria.Yeye kwa mihemko yake aweke watu ndani😀😀😀busara na hekima inaitajika kwenye vyeo kama hivi.Hata kama sheria inamruhusu huwezi ukatumia huyo kama fimbo kutisha watu kuwaweka ndani thats total sarvage way of life!!!

Uafrika ni unyani.Afrika imelaaniwa!!!!
Unyani uliotukuka!!
 
Abuse of power.Hivyo vyeo vya kichawa vifutwe.Yaani mtu hana hata utaalamu wa sheria.Yeye kwa mihemko yake aweke watu ndani😀😀😀busara na hekima inaitajika kwenye vyeo kama hivi.Hata kama sheria inamruhusu huwezi ukatumia hiyo kama fimbo kutisha watu kuwaweka ndani thats total sarvage way of life!!!

Uafrika ni unyani.Afrika imelaaniwa!!!!
hii maana yake ilikuwa nzuri sana , kwa sababu nia yake huwezi kuwa boss wa wakuu wa vyombo sita vya usalama ndani ya mkoa wako halafu itokeee huna mamlaka ya kikatiba ya kuover rule power. Ndo maana hata Marekani na katiba zao bado rais ana uwezo hata wa kufuta kesi rasmi na kumtoa mtuhumiwa aliyehukumiwa na jopo la ma judge wa rufaaa
 
Ana inferiority complex.Hata ongea yake ni kana kwamba anataka kutambulika.Huyu wanyoe akalee wajukuu mpaka umri huo bado hajazoea uongozi.
mimi mmoja nisiopenda uzembe sasa mkuu wako anakupigia simu unajivuta maana yake nini
 
mimi mmoja nisiopenda uzembe sasa mkuu wako anakupigia simu unajivuta maana yake nini
Simu za nje ya muda wa kazi??? Kama mnaendesha nchi bila kufata sheria,kanuni na taratibu hayo ndo matunda ya kazi ya mikono yenu.

Tofautisha uzembe na uzwazwa.Ingekuwa amefanya vitu vya ajabu muda wa kazi sheria zipo.Hizo drama na makamera hayana afya kwakua hayatatui matatizo ya kweli ila kuzidisha viburi na kutowajibika kwa watumishi.
 
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye mkutano wa hadhara alipotakiwa kutoa maelezo juu ya kikundi cha watu wanaoingia kuchimba madini ya dhahabu kwenye eneo la chuo hicho bila kuwa na leseni halali.

Kufuatia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha akaagiza mkuu huyo wa chuo aondolewe kwenye nafasi ya ukuu wa chuo hicho cha madini kutokana na utovu huo wa nidhamu.

View attachment 3242769
HUyu rc ana shida gani

Kila siku matukio ya kutishana tishana loh
 
Back
Top Bottom