kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Hawana mamlaka hiyo , ila kwa vile wanajiita eti ma rais wa mkoaMtupe mamlaka ya DC na Rc kwenye kuvua watu kwenye nafasi zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana mamlaka hiyo , ila kwa vile wanajiita eti ma rais wa mkoaMtupe mamlaka ya DC na Rc kwenye kuvua watu kwenye nafasi zao
Waliisha elekezwa toka mkuu moja Singida alivyoongea kama shasha kwa DaktariMtupe mamlaka ya DC na Rc kwenye kuvua watu kwenye nafasi zao
Hata siku moja, mkuu wa wilaya kutumia madaraka vibaya hakuwezi kuwa dawa ya kutowajibika wanapokuwa ofisini. Kufukuza kazi mtu yoyote kuna taratibu zake, kwa nini wasifuate? Kwa nini wanapenda sana kutoa amri ya kuweka watu rumande? Huku ni kutumia madaraka vibaya na ndiyo maana hawa wakuu wa wilaya na mikoa wanatakiwa kuondolewa wote.Ni wakati wao na wao kudharirika ukienda kwenye maofisi yao hao wanakuona kama mbwa
Kwahiyo wanapotunyanyasa na kutuona mbwa hapo wametumia vizuri madaraka? Kama mbwai mbwai tuHata siku moja, mkuu wa wilaya kutumia madaraka vibaya hakuwezi kuwa dawa ya kutowajibika wanapokuwa ofisini. Kufukuza kazi mtu yoyote kuna taratibu zake, kwa nini wasifuate? Kwa nini wanapenda sana kutoa amri ya kuweka watu rumande? Huku ni kutumia madaraka vibaya na ndiyo maana hawa wakuu wa wilaya na mikoa wanatakiwa kuondolewa wote.
We mzee si umeelewa lakiniKudhalilika.
Hawajatumia vizuri. Lakini njia nzuri ni kupignia kila mtu afuate sheria. Ukiruhusu sehemu moja, kesho litamtokea mtu mwingine. Kama unafurahia hili jambo unaweza kulaumu polisi wanaotumia madaraka vibaya na kuweka watu rumande bila makosa?Kwahiyo wanapotunyanyasa na kutuona mbwa hapo wametumia vizuri madaraka? Kama mbwai mbwai tu
Nasikia Mwanri ni mchungaji siku hizi 😀😀Huyu mkuu wa mkoa ni aina ya viongozi wanaopenda sana sifa na kuonekana wanafanya kazi sana na wanataka sana watokee kwenye vyombo vya habari. Wanasahau kuwa ukifanya kazi vizuri huna hata haja ya kuita media bali wananachi wenyewe unaowahudumia bila hata ya kuombwa watatangaza utendaji wako mzuri na taarifa zitafika kila kona ya nchi hii.
Miuu wa mkoa ni amiri jeshi wa mkoa .wanajeshi wote mkoani humpihia salutiHata siku moja, mkuu wa wilaya kutumia madaraka vibaya hakuwezi kuwa dawa ya kutowajibika wanapokuwa ofisini. Kufukuza kazi mtu yoyote kuna taratibu zake, kwa nini wasifuate? Kwa nini wanapenda sana kutoa amri ya kuweka watu rumande? Huku ni kutumia madaraka vibaya na ndiyo maana hawa wakuu wa wilaya na mikoa wanatakiwa kuondolewa wote.
Na ni Mwenyekiti wa kamati ya ulizi, alitakiwa kutoa Ulinzi ili wavamizi wasivamie hukoUlitaka akubali kwa kitu ambacho hana huakika nacho? Mfano apo ulipo ukaulizwa jirani yako kauliwa na jirani yake na hujui ,je utatoa jibu gani.
Uyo mkuu wa mkoa alishindwa nini kumuita ofisin kwake kupata majibu sahii kabla kwenda kwenye huo mkutano.
Vema mkuu lakini ofisi nyingi za serikali watu wamekua wahanga vibaya mno mno tena wa hawa watu waliopewa madaraka watuongoze unajua inauma kiasi gani unaenda kwenye taasisi ya umma unajibiwa au kutendewa kama mbwa?Hawajatumia vizuri. Lakini njia nzuri ni kupignia kila mtu afuate sheria. Ukiruhusu sehemu moja, kesho litamtokea mtu mwingine. Kama unafurahia hili jambo unaweza kulaumu polisi wanaotumia madaraka vibaya na kuweka watu rumande bila makosa?
Mkuu tuna viongozi wa ajabu sana, hizi nafasi za R.C ,DC ,Zinatakiwa kufutwa mara moja, zinaongeza matumizi ya serikali bila sababu, mbaya zaidi wanalipwa mishaara kwa kodi za wananchi ila wao wapo kufanya kazi za chama.Na ni Mwenyekiti wa kamati ya ulizi, alitakiwa kutoa Ulinzi ili wavamizi wasivamie huko
Ni kweli. Njia sahihi ni kuanza na hao waliowaweka hapo na kushindwa kuwasimamia.Vema mkuu lakini ofisi nyingi za serikali watu wamekua wahanga vibaya mno mno tena wa hawa watu waliopewa madaraka watuongoze unajua inauma kiasi gani unaenda kwenye taasisi ya umma unajibiwa au kutendewa kama mbwa?