Ndugu naomba nikuambie vitu vifuatavyo.Simu za nje ya muda wa kazi??? Kama mnaendesha nchi bila kufata sheria,kanuni na taratibu hayo ndo matunda ya kazi ya mikono yenu.
Tofautisha uzembe na uzwazwa.Ingekuwa amefanya vitu vya ajabu muda wa kazi sheria zipo.Hizo drama na makamera hayana afya kwakua hayatatui matatizo ya kweli ila kuzidisha viburi na kutowajibika kwa watumishi.
1. Ukishakubali kuwa mwajiriwa lazima ukubali kuwa mtiifu kwa mwajiri kama ni serikali au sekta binafsi na kwa bosi wako sio ombi, kama hutaki kajiajiri ujipangie muda na protocol zako binafsi, ndo maana chain,authority and artitect of power . Magufuli alipractise vizuri sana na mzee mkapa.
2. Yule bwana hajapigiwa simu kila siku ni emergency na emergency kazini zipo sasa kama hataki kuwa flexible nadhani katibu mkuu angetakiwa ampumzishe wampe mafao yake kwa retrenchment process biashara iishe na iwe model and ethics alert kwa entire system au team. Enzi hizo nipo kikazi Geita Magufuli alikuwa anaweza akapiga simu saaa saba usiku anataka data fulani kabla ya saa tisa usiku na zilikuwa zinapatikana, na ilikuwa ukiwa upo puncyual kuna siku anamwambia RC , RAS jiamulieni masaa ya kupumzika kwa sababu kuna saa mnapiga kazi extra kesho mnajiamulia kupumzika , maisha simple lakini discpline ilikuwepo haswa, alishawahi kutua saa 12 jioni, akafanya vikao mpka kaa 11 asubuhi Rais wa nchi.
3. Tatu kwa wafanyakazi wa serikali kawaida unatakiwa uwe standby muda wote ndo maana zamani most efficient goverment sytems of operations ilikuwa key employees lazima wakae kwenye Gorverment campus , mfano madaktari , kulikuwa na nyumba za madaktari, polisi , wanajeshi, walimu , idara ambazo hawakuwa na myumba ni zile tu zisizo na udharura , Nia ilikuwa ukihitajika kwa dharura hata kama hupokei cm utafuatwa nyumbani uende kazini
Kwa hiyo huyu bwana ana makosa makubwa sana na ningekuwa RAS leo hii au katibu mkuu ningeshamtengua rasmi, nipo nvhi za watu huku toka 222 lakini naona utafauti sana wa discpline kwa wenzetu