DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Jambazi
5F8F676D-4042-436E-B4C4-2FC8E0547179.jpeg
 
Hata hayo maneno yake unaona yalivyo takataka tu kuthibisha uovu wake. Yeye na bosi wake walikuwa wa hovyo na hata yeye kupelekea Hai ulikuwa mkakati wa kuendeleza uovu wao dhidi ya wapinzani na wala si kingine. Na ye huyu kwa utahira wake akashindwa kuchanganya na za kwake. Amepata haki yake.
 
Akili yake ni ndogo sana i.e. wala hakuwaza hivyo
Huyu jamaa ujana na Testosterone zilikuwa nyingi kuliko maarifa. Ukiwa unatumwa kufanya uhalifu hakikisha unakusanya ushahidi ili siku moja wanaokutuma wakikugeuka ushahidi uliokusanya unakuwa ndiyo bima yako. Kama ni kweli alitumwa kufanya alichofanya, angerekodi hata mazungumzo ya simu ya aliyemtuma kufanya uhalifu na maovu. Au kama alikutana naye uso kwa uso angerekodi mazungumzo kimya kimya awe nayo.
 
Nilesema sintainua MDOMO wangu kuhusiana na Mambo ya siasa. Lakini clip hii inanipelekea kuinua MDOMO na kusema. Adhabu aliyopewa NI stahiki kabisa. Yaonyesha alifanya kweli matukio aliyoshitakiwa nayo.
 
Back
Top Bottom