DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Hata hayo maneno yake unaona yalivyo takataka tu kuthibisha uovu wake. Yeye na bosi wake walikuwa wa hovyo na hata yeye kupelekea Hai ulikuwa mkakati wa kuendeleza uovu wao dhidi ya wapinzani na wala si kingine. Na ye huyu kwa utahira wake akashindwa kuchanganya na za kwake. Amepata haki yake.
 
Akili yake ni ndogo sana i.e. wala hakuwaza hivyo
 
Nilesema sintainua MDOMO wangu kuhusiana na Mambo ya siasa. Lakini clip hii inanipelekea kuinua MDOMO na kusema. Adhabu aliyopewa NI stahiki kabisa. Yaonyesha alifanya kweli matukio aliyoshitakiwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…