DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Hawa watu wa HAI walikuwa wavumilivu kiasi gani wa kutawaliwa na mpumbavu Kama huyu,Naimani Mungu atawapa pepo.huyu dogo angepelekwa wilayani kwetu na hakika tungekuwa tumemzika Siku nyingi Sana .matendo aliyoyafanya alipaswa kuuwawa.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]
 
Mtu akishahukumiwa..na kuwa confirmed mhalifu
Jf isiruhusu thread zozote zile za kumpamba au kumtetea

Kuwepo na moral standards hapa JF
Maxence Melo
Sawa ko akikataa rufaa akashinda ndo turuhusiwe kuleta mapambio upya

Hapa naona mnataka kuminya uhuru wa habari, acheni watu walete nyuzi za kumsifia na kumtetea maana hukumu haiondoi mazuri ya mtu hapo zamani
 
Awamu ya tano ilikua ya kipumbavu sana. Sijui tufanye nini kuifuta hii aibu. Cha ajabu hangaya anaanza kuelekea kulekule.
 
Ukiangalia deep hii hukumu haimuhusu sabaya kuna mtu anaandaliwa kulimwa sa ili malalamiko yasiwe mengi wanajifanya kumsweka sabaya ili kusema sheria haichagui chama....hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani ushahidi uliotolewa dhidi ya Sabaya hjkuufatilia?Hata yeye amekiri kufanya matukio yale alipoambiwa ajitetee na kusema alikuwa anafanya vile kwa maelekezo ya mamlaka ya uteuzi wake.
 
Mkuu kwani ushahidi uliotolewa dhidi ya Sabaya hjkuufatilia?Hata yeye amekiri kufanya matukio yale alipoambiwa ajitetee na kusema alikuwa anafanya vile kwa maelekezo ya mamlaka ya uteuzi wake.
Toka mwanzo kbs wa Kesi alishakiri kuwa mamlaka ya uteuzi ilikuwa unajua na kwamba hata Dr Mpango na Mkurugenzi wa BOT anajua.
 
Sawa ko akikataa rufaa akashinda ndo turuhusiwe kuleta mapambio upya

Hapa naona mnataka kuminya uhuru wa habari, acheni watu walete nyuzi za kumsifia na kumtetea maana hukumu haiondoi mazuri ya mtu hapo zamani
Endelea kutete waharifu ambao wao wenyewe wamekiri. We hamnazo.
 
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
Wewe mtabiri upo vizuri
 
Jf ibaki huru kwa mawazo yote, hiyo ni gharama mmojawapo ya uhuru wa maoni, kusikiliza hata maoni ya kijinga na kipumbavu

Pia sio wote wanaohukumiwa na mahakama wana hatia, sio wote wanaouwa kama majambazi ni majambazi kweli.
Mtu akishahukumiwa..na kuwa confirmed mhalifu
Jf isiruhusu thread zozote zile za kumpamba au kumtetea

Kuwepo na moral standards hapa JF
Maxence Melo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…