DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Kwa nini wanaumia jambazi wa kutumia silaha kuhukumiwa?
Hii hukumu imenifikirisha sana, anyways wacha tusonge mbele! Naamini ndani ya CCM wengi wanaumia kimoyo moyo tu basi tu!
 
Huyu anajifariji wananchi wakiamuwa hana lolote sema watu wanapiga kazi ila huwa wanabadilika kama kinyonga lema pale ni kwao mzaliwa Wa kijiji cha Mronga na Bomangombe ni wilayani anakuwaje mhalifu?
Sasahivi yeye kaolewa gerezani
 
Una record mazungumzo ya Rais!!??
 
Hii hukumu imenifikirisha sana, anyways wacha tusonge mbele! Naamini ndani ya CCM wengi wanaumia kimoyo moyo tu basi tu!
Wote wenye roho mbaya na ujambazi walioamini wanaweza kufanya lolote weshika adabu. Mbwa kama nyie
 
Ukiangalia deep hii hukumu haimuhusu sabaya kuna mtu anaandaliwa kulimwa sa ili malalamiko yasiwe mengi wanajifanya kumsweka sabaya ili kusema sheria haichagui chama....hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Unapenda iwe hivyo, lakini si kama upendavyo. Huna information za madudu ya Sabaya ndiyo maana unapata taabu kujaribu kuona kama "wanafanya hivyo.... Ili sijui iwe nini...... Hizi case ziko tofauti sana mkuu. Hii ya Sabaya ilikua wazi sana. Leo tr 18/10 anapandishwa tena kizimbani kwa case za uhujumu uchumi akiwa kwenye suti mpya.
 
Kwani atakuwa kada wa kwanza kufungwa?!!! Khaaa [emoji15][emoji15][emoji15]

Mahakama haina mwenyewe....haki ikitendeka inatendeka tu ....

TUWEKE AKIBA YA MANENO KUNA KESHO PIA....

Jela haina mwenyewe....
Ina maana hukuona kwamba matendo yake yangeilazimu mahakama kutoa hukumu kama hiyo?? Ni kipindi cha mwendakuzimu tu ndiyo hili lisingewezekana kwa sababu mahakama isingekua huru. Nani kwanza angemfungulia kesi mtoto mpendwa?
 
Sabaya wewe Mwenyewe umesahau kesi yako kujifanya Usalama wa Taifa.

Ulifaa uwe Jela ukitumikia kifungo ,dhidi ya jinai ulizotenda kwa kujifanya Usalama wa Taifa.
Kumbuka usitukane Mamba kabla hujavuka Mto,

Bado nakuona wewe ni Mfungwa wa Kesho.
Hatimaye yule mamba uliyemtahadharisha keshamtia kimyiani.!
 
Nyerere alikuwa ana angalia familia atokayo mtu kabla ya kumpa uongozi kwa aliyowafanyia watu wa serengeti baba yake mzazi na Sabaya akiwa DC haikustaili mwanae kupewa uDC, mtoto urithi ya baba
 
Mungu ni Mungu wa Vita.
Nikusahihishe kidogo hapa. Ulitakiwa useme Mungu ni BWANA wa vita.
Ukiyachunguza vizuri Maandiko Matakatifu Biblia, utabaini kuwa Mungu huwa hatumii cheo "Mungu" anapokuwa anapambana vita, bali huwa anatumia cheo "Bwana". Katika matukio yote ndani ya Biblia ambayo Mungu aliwahi kufanya vita, alikuwa anatumia cheo "Bwana". Kwa mfano, wakati anaenda kuzichoma moto Sodoma na Gomora, alienda kama "Bwana". Vile vile kipindi cha Eliya wakati Nabii Eliya anawachinja manabii wa Baali, watu walisikika wakishuhudia kwa maneno yao wakisema "Bwana ndiye Mungu, Bwana ndiye Mungu "

Kwa hiyo Mungu anapokuwa vitani mara zote huwa anatumia cheo "Bwana", japo si kila mahali Mungu alipotajwa kama Bwana, alikuwa yuko vitani, hapana
 
Nimeamini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…