Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Ha ha ha ha eti nimefura kwa hasira, usinichekeshe!!hata mimi naona.
mana ile 'statement' yko ulivuoitoa namm nkavuta taswira 'physically' mda huu unayatoa mneno hayo cjui una hali gan?.
mana jinsi ulivyofura kwa hasira mpk zimejitokeza katika maandishi..!!!!
Usifanye mchezo na kuletewa mke wa pili