DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.

View attachment 699033

View attachment 699031




Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Acha kuzingua, pm zangu za kukuongeza mke wa pili huzijibu
 
Na halafu hili swala la kuongeza mke lina siri kubwa sana.
huwezi jua nyuma ya pazia ni kipi kinaendelea mpaka jamaa kaamua kuongeza idadi ya mke mwengne.
mana kuna sababu nyengne hazielezeki hadharani, labda kuna ugonjwa au tatzo lolote lililomsukuma jamaa kufanya hvyo.
 
Back
Top Bottom