Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa wapi kwa kifupi siwezi nimewaachia wenzangu wenye huo moyo.
Najiengua kiroho safi tussa mfano wewe ndio mhusika mkuu katika mkasa kama huu. jamaa unampenda sana ila ndio kakuletea mwenzako utachkua hatua gani, au utajiengua katika mungano huo?
Siku zote bi mdogo kwake ni jambo rahisi kashaamua kushea kimbembe kwa mkubwa.Mtu atajibu anaweza ila kiuhalisia hakuna anayependa, unajua kabisa mume wangu leo yupo sehemu ananjunju mimi ningeleta visa kila siku.
Kabisa yaaniMie nahisi watakuwa wame differ hao sasa wanaachana ki aina. DC kupunguza makali ya watu kaamua kujifaragua kuwa ameridhia
Kwa imani yako mkuu,siyo imani yetu.Mwanamke wa kiislamu mpaka kufua nguo za mumewe sio wajibu wake,mwanaume afue mwenyewe,na kama anafua mke basi kwa mapenzi kwa mume wake.Wanawake wakiislamu wanayofuraha kamili na hata kazi ngumu wasifanye,wapendwe,na kazi yao ngumu inatakiwa iwe pyumbu tu.Si kweli, hiyo ni propaganda ya kukandamiza wanawake.
Wazigua wanatokea Tanga, nikajua wewe Mzigua90 ndo umepata hii neema ya kushea jihogo la Jang'ombe na Mh mkuu wa wilaya!!!Ningekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.
Najiengua kiroho safi tu
Hahahaha....Ngoja nimuoneshe wife alafu nimsikilize atatoa comment gani
Hii dini nzuri sana, hii inafaa kwa starehe za hapa duniani ila kama unataka kwenda mbinguni aisee no way, Mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wako
Jamani si ulitaka nikuoneshe msimamo wangu? matokeo yake unaniambia wa ajabu ha ha ha ha hayawe nawe wa ajabu kumbe eeh?.
mbona mnakuwa na roho hiyo? hv hamjui kama nyie wanawake mko wengi zaid yetu wanaume..
sasa hao wengne wanaozagaa mitaani watapata wapi hifadhi kama si kuwaonea huruma kama hii ya bi Zainabu.
Vibaya hivyo...Simara
Jamani si ulitaka nikuoneshe msimamo wangu? matokeo yake unaniambia wa ajabu ha ha ha ha haya
Ku justify uzinzi![]()
End of quote
Teh teh..Pole mpenziMi navaa size 41 na hivi naona 36. Vinanibana sana.