DC Petro Magoti: Nikifa atakaechukua simu yangu asimtoe Rais Samia kwenye Wallpaper

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
 
mh! Dc Petro Magoti umetuonesha kuwa Tukiona mambo hayaendi ni nyie wazaidizi ndo mnazingua kama ni hvo. Kwanini, Barabara nchini zimechakaa? na barabara za mitaa ni vumbi tupu kwenye baadhi ya mikoa hata kuweka vichangarawe mmeshindwa kuweka nyie wasaidizi wake halafu ameshindwa kuwachukulia hatua..Kweli Dc Magoti unahaki ya kusema hvo kwamba mnamuhujum Bosi wenu.
 
kun yule Kange ligola alisema magufuli ni kama yesu

kuna yule baba levo alisema angekuwa wa kike angemzalia diamond

na kuna yule mkuu wa mkoa alisema anapenda kuwa muzilamu huku bado ni mkristo.

Yer 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

ni vyema ewe mwanadamu ukamuabudu Mungu muumbaji wa ulimwengu na wote wakaao ndani yake ,USIMUABUDU MWANADAMU MWENZAKO.
 
Yupo sahihi %100 TRA Uchumi makusanyo Ujenzi tunakimbia kwa kasi kubwa tunasababu kila Mtanzania kujivunia kwa ili👈

Na Rais Dk Samia Suluhu Hassan kawaishimisha kinamama wengi kwenye nchi yetu

Kabla tulidhani Mama zetu ni wa kinyumbani tu kumbe wanaweza kukaaa mbele kabisa na kutuongoza kwa mafanikio makubwa yenye kushangaza!🫡🫡

nimeshangazwa
Zaidi ndani ya miaka 5 makusanyo TRA yameongezeka kwa Trilioni 20!!

Hapana Watanzania nk. MAMA zetu wote tuwaheshimu sana kwenye Kaya zetu👈

wanaweza kufanya makubwaa zaidi ya yale tunayoyajua kila siku✍️
 
kun yule Kange ligola alisema magufuli ni kama yesu

kuna yule baba levo alisema angekuwa wa kike angemzalia diamond

na kuna yule mkuu wa mkoa alisema anapenda kuwa muzilamu huku bado ni mkristo.

Yer 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

ni vyema ewe mwanadamu ukamuabudu Mungu muumbaji wa ulimwengu na wote wakaao ndani yake ,USIMUABUDU MWANADAMU MWENZAKO.

images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
 
"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Amwambie ampeleke Urusi kwa Putin wakamnyooshe mgongo
 
kun yule Kange ligola alisema magufuli ni kama yesu

kuna yule baba levo alisema angekuwa wa kike angemzalia diamond

na kuna yule mkuu wa mkoa alisema anapenda kuwa muzilamu huku bado ni mkristo.

Yer 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

ni vyema ewe mwanadamu ukamuabudu Mungu muumbaji wa ulimwengu na wote wakaao ndani yake ,USIMUABUDU MWANADAMU MWENZAKO.
Ongezea na ile aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar, Mzee Abdallah Madabida aliesema Lowasa ni zaidi ya Mtume Mohamed.
 
"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Mawazo yake na yaheshimiwe,sio ya baba yake na mama yake!
 
Pathetic aiseee
 
Kwa upuuzi huu, Katiba Mpya ije tu haraka, utaratibu wa kuwapata hawa maRCs & DCs ubadilike kabisa,.. ikitupendeza wapatikane kwa kuchaguliwa
 
Baada ya kutoa ulithi wa mali zake zote alikua amebakiza wallpaper ya simu yake Leo ameitoa rasmi ila amesahau kwamba atakeyerithi simu ataiuza Kwa wale jamaa wa vyuma chakavu.
 
"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Duh!...
 
Back
Top Bottom