DC Petro Magoti: Nikifa atakaechukua simu yangu asimtoe Rais Samia kwenye Wallpaper

Wakati mkiwa mnajiuliza kwanini nchi ina miaka 65 inasema iko huru isiingiliwe ila maji , umeme, barabara , huduma za afya sio za uhakika nadhani mtakua mmepata jibu.
 
"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Absolutely
Wanaompigisha shot mama samia ni wasaidizi wake na Washauri wake

No wonder hata haya mambo ya watu kutekwa hajui
 
Kama sikosei huyu jamaa alikuwa msanii wa maigizo RFA kule Mwanza miaka ya 90 mwishoni.
GtRMO9PXcAAB2E3.jpg
 
"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Hakika huu ni msiba mzito sana
 
Back
Top Bottom