Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
kun yule Kange ligola alisema magufuli ni kama yesu
kuna yule baba levo alisema angekuwa wa kike angemzalia diamond
na kuna yule mkuu wa mkoa alisema anapenda kuwa muzilamu huku bado ni mkristo.
Yer 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
ni vyema ewe mwanadamu ukamuabudu Mungu muumbaji wa ulimwengu na wote wakaao ndani yake ,USIMUABUDU MWANADAMU MWENZAKO.
Amwambie ampeleke Urusi kwa Putin wakamnyooshe mgongo"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Ongezea na ile aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Dar, Mzee Abdallah Madabida aliesema Lowasa ni zaidi ya Mtume Mohamed.kun yule Kange ligola alisema magufuli ni kama yesu
kuna yule baba levo alisema angekuwa wa kike angemzalia diamond
na kuna yule mkuu wa mkoa alisema anapenda kuwa muzilamu huku bado ni mkristo.
Yer 17:5
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
ni vyema ewe mwanadamu ukamuabudu Mungu muumbaji wa ulimwengu na wote wakaao ndani yake ,USIMUABUDU MWANADAMU MWENZAKO.
Mawazo yake na yaheshimiwe,sio ya baba yake na mama yake!"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Pathetic aiseee"Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Duh!..."Ninaweza nikasema hapa, wakasema labda anasema hivyo kwa sababu amemteua DC. Mimi hata ukija chumbani kwangu nina bed side mkono wa kulia na kushoto kuna picha ya mheshimiwa Rais.
-
Nilimwambia mke wangu hata nikifa leo atakayechukua simu yangu, asimtoe Rais kwenye wallpaper aiache hivyo hivyo. Ukienda kwenye instagram yangu nimemuweka mheshimiwa Rais. Status yangu ningekuwa na uwezo wa kuongea na watu wa insta, waniwekee insta story ya Rais ikae mwaka mzima.
-
Kwa sababu anafanya mambo makubwa, mama ana roho nzuri , ukiona vitu haviendi vizuri ni sisi wasaidizi wake." Amesema Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Aibu utaona weweDuh!...