Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Simaanishi hivyoAngepelekwa huko Zenji kwa wala urojo wenzake.
Nadhani yule mama aliyekuweko Handeni anaweza kwa kiasiKuna yule DC wa Arusha (sijui kama kahamishwa). He is very smart.
Angepaweza huko, maeneo yenye mgogoro yanayohitaji mazungumzo kuheshimiana.
Kupewa wilaya hizo ni busara za Rais, shida yangu nature ya wilaya aliyopewa.labda kapelekwa kule kwenda kuchunga maslahi na mashamba ya wakubwa yaliyo kule na wale wapemba wanaolangua mazao ya watu yakiwa mashambani!
LKn Niulize swali; inakuwaje mtu wa ZNZ kwenda kuwa mkuu wa Wilaya Tz Bara? Je haya ni mambo ya muungano?
Kumbuka misimamo na uwezo wa DC pia ni muhimu Sana wilayani.Pale kuna ocd, dso na das. Watamsaidia sana kama hatapeleka ujuaji.
Hata ukipeleka mwenye manguv ya samson mix busara za suleimani migogoro hutatuliwa kwa kuangalia shamba ni la nani vs mmiliki wa mifugo...
Kapelekwa wapi?Nadhani yule mama aliyekuweko Handeni anaweza kwa kiasi
Wafugaji ni wagumu mno, Ni wa kukaanao kwa umakini.Pale kuna ocd, dso na das. Watamsaidia sana kama hatapeleka ujuaji.
Hata ukipeleka mwenye manguv ya samson mix busara za suleimani migogoro hutatuliwa kwa kuangalia shamba ni la nani vs mmiliki wa mifugo...
Ni kweli kabisa,mwanasiasa hafai hapa.Uharibifu mkubwa wa mazingira,rushwa kubwa toka kwa wafugaji ni changamoto kwa viongozi vijana.Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili...
Yani ni nguvu kidogo na hekimaSehemu kama hiyo inahitaji mtu atakae zungumza kwa hekima za kiuongozi na anaeweza kutenda kwa mkono wa chuma yani "diktekta" pro max, hao ndugu zetu kwa mazungumzo tuu hawaendi.
Kihongosi au Mwingine?Kuna yule DC wa Arusha (sijui kama kahamishwa). He is very smart.
Angepaweza huko, maeneo yenye mgogoro yanayohitaji mazungumzo kuheshimiana.
Mm Ni mfugaji na napenda ufugaji baadaeWafugaji ni wagumu mno, Ni wa kukaanao kwa umakini.
Fuga kisasa, hutogombana na mtu
Fugeni kisasa, heshimuni mashamba ya Wakulima, heshimuni mapori tengefu na hifadhi za taifa.Naomba wafugaji waheshimiwe Kama anavyo heshimiwa mkulima vinginevyo hatutakubali ss wafugaji kuburuzwa ktk nchi Eti tupunguze mifugo alfu wanasiasa...