Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Hakuna kisichowezekana, ataweza tu wamepewa wangapi ambao tunaona competency hakuna na wameweza? Hii ni tz na chama chao wanakijua wenyewe! Relax
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameenda Urambo!Kuna yule DC wa Arusha (sijui kama kahamishwa). He is very smart.
Angepaweza huko, maeneo yenye mgogoro yanayohitaji mazungumzo kuheshimiana.
Lile jina la Sijui PUTIN sijui nini hivi bado lipo? ila bongo jana dahWilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua migogoro.
Sina uhakika Kama Shaka ataimudu wilaya hii. Simdharau ila nasema tu Sina uhakika Kama DC mpya Shaka Hamidu Shaka ataweza mchakamchaka wa Wakulima na Wafugaji wa wilaya ya Kilosa.
Ningependekeza abadilishiwe kituo na kuangalia orodhani kama kuna DC ataimudu wilaya ya Kilosa.
Ni maoni yangu tu.
Lakini kukiri kuwa wapo vingozi wasio na ujuzi, Ni kosa kuwa na watu hao. Maendeleo ndyo maana huchelewa kutifikia.Hakuna kisichowezekana, ataweza tu wamepewa wangapi ambao tunaona competency hakuna na wameweza? Hii ni tz na chama chao wanakijua wenyewe! Relax

Hivi mzanzibari kuwa DC au RC bara wakati wa bara hawezi kushika nyadhifa hizo Zbar ni sawa??Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua migogoro.
Sina uhakika Kama Shaka ataimudu wilaya hii. Simdharau ila nasema tu Sina uhakika Kama DC mpya Shaka Hamidu Shaka ataweza mchakamchaka wa Wakulima na Wafugaji wa wilaya ya Kilosa.
Ningependekeza abadilishiwe kituo na kuangalia orodhani kama kuna DC ataimudu wilaya ya Kilosa.
Ni maoni yangu tu.
Muungano una Siri mno.Hivi mzanzibari kuwa DC au RC bara wakati wa bara hawezi kushika nyadhifa hizo Zbar ni sawa??
Hatuwezi kujua pengine Mama ana shamba lake huko, Kwaiyo kamtuma akalisimamie.Mambo ya Wakulima na Wafugaji watajijua wenyewe.Ni kweli kuwa Wilaya zenye Migogoro zinahitaji watu wazoefu sana!Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua migogoro.
Sina uhakika Kama Shaka ataimudu wilaya hii. Simdharau ila nasema tu Sina uhakika Kama DC mpya Shaka Hamidu Shaka ataweza mchakamchaka wa Wakulima na Wafugaji wa wilaya ya Kilosa.
Ningependekeza abadilishiwe kituo na kuangalia orodhani kama kuna DC ataimudu wilaya ya Kilosa.
Ni maoni yangu tu.
ACHA DHARAU SUBIRI AENDE AKASHINDWEWilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua migogoro.
Sina uhakika Kama Shaka ataimudu wilaya hii. Simdharau ila nasema tu Sina uhakika Kama DC mpya Shaka Hamidu Shaka ataweza mchakamchaka wa Wakulima na Wafugaji wa wilaya ya Kilosa.
Ningependekeza abadilishiwe kituo na kuangalia orodhani kama kuna DC ataimudu wilaya ya Kilosa.
Ni maoni yangu tu.
We unajionaje, unaweza kuimudu? Katume maombiWilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua migogoro.
Sina uhakika Kama Shaka ataimudu wilaya hii. Simdharau ila nasema tu Sina uhakika Kama DC mpya Shaka Hamidu Shaka ataweza mchakamchaka wa Wakulima na Wafugaji wa wilaya ya Kilosa.
Ningependekeza abadilishiwe kituo na kuangalia orodhani kama kuna DC ataimudu wilaya ya Kilosa.
Ni maoni yangu tu.
Shamba tena?Hatuwezi kujua pengine Mama ana shamba lake huko, Kwaiyo kamtuma akalisimamie.Mambo ya Wakulima na Wafugaji watajijua wenyewe.Ni kweli kuwa Wilaya zenye Migogoro zinahitaji watu wazoefu sana!
aaahhhaaaahhhaaamtoto soft soft yule kamati ya ulinzi itaki wakojani lege lege
Hakuna kuomba hicho cheo, Ni jinsi wakubwa watakavyokuonaWe unajionaje, unaweza kuimudu? Katume maombi
Sina dharau, nahisi haiwezi wilaya hii.ACHA DHARAU SUBIRI AENDE AKASHINDWE
DuuuuhhhHuko ameletwa huko ili akienda site kwenye mgogoro wa ardhi akutane na mishale itakayorushwa na wafugaji.