DC Shaka Hamdu Shaka hawezi mikimiki ya Wakulima na Wafugaji wa Kilosa, abadilishiwe kituo

Hakuna kisichowezekana, ataweza tu wamepewa wangapi ambao tunaona competency hakuna na wameweza? Hii ni tz na chama chao wanakijua wenyewe! Relax
 
Lile jina la Sijui PUTIN sijui nini hivi bado lipo? ila bongo jana dah
 
Hakuna kisichowezekana, ataweza tu wamepewa wangapi ambao tunaona competency hakuna na wameweza? Hii ni tz na chama chao wanakijua wenyewe! Relax
Lakini kukiri kuwa wapo vingozi wasio na ujuzi, Ni kosa kuwa na watu hao. Maendeleo ndyo maana huchelewa kutifikia.
 
Hivi mzanzibari kuwa DC au RC bara wakati wa bara hawezi kushika nyadhifa hizo Zbar ni sawa??
 
Hatuwezi kujua pengine Mama ana shamba lake huko, Kwaiyo kamtuma akalisimamie.Mambo ya Wakulima na Wafugaji watajijua wenyewe.Ni kweli kuwa Wilaya zenye Migogoro zinahitaji watu wazoefu sana!
 
Huyo atakua ameletwa huko ili akienda site kwenye mgogoro wa ardhi akutane na mishale itakayorushwa na wafugaji.
 
ACHA DHARAU SUBIRI AENDE AKASHINDWE
 
We unajionaje, unaweza kuimudu? Katume maombi
 
mtoto soft soft yule kamati ya ulinzi itaki wakojani lege lege
 
Hatuwezi kujua pengine Mama ana shamba lake huko, Kwaiyo kamtuma akalisimamie.Mambo ya Wakulima na Wafugaji watajijua wenyewe.Ni kweli kuwa Wilaya zenye Migogoro zinahitaji watu wazoefu sana!
Shamba tena?
 
Ni vema ukauanza u DC Kwa kukumbana na magumu zaidi. Hii itakufanya uwe imara zaidi, sio unaanza na mteremko, no! Anza na msalaba!
 
Hapo ndio utamkumbuka makonda kwenye issue kama izo ndio uwanja wake wa kujidai kama aliwakamata mashoga dar hilo asingeshindwa.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…