Ww jamaa buana nimekuuliza swari lakini unajizungusha tu.Kumbe uko kisiasa
Sasa mbona mkitiwa adabu kwa kutandikwa risasi " miguuni" mnalalamika dunia nzima?
Kwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?
Lazima kulikuwa na witness wengi tu, hivyo kama hawatatishwa ukweli utajulikana. Yaani kitendo cha yeye kushika mkono tena mtoto wa kike... Yaani ni kosa kubwa sana.
Hiki kiburi cha Wakuu wa Wilaya toka enzi za JPM inabidi kidhibitiwe. Nakumbuka akina Chalamila waliwahi piga watoto wa watu halafu kuna watu wakawa defend. Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Enzi za JK kuna Mkuu wa Wilaya alimtandika viboko mwalimu wa shule ya msingi.... Kikwete alimtimua kazi kesho yake.
Sitashangaa kusikia ana negotiate dau ili atoke salama. Kwa hiyo matokeo ya uchaguzi nafikiri tayari yameshajulikana.
si yule DC wa Geita alikuwa anaitwa Albert Mnali alikuwa mwanajeshi mstaafu.Kumbukeni mama yetu Mhe Salma alikuwa mwalimu hivyo mama aliona wamedhalilishwa mzee akaamua kumtoa DC.Hata hivyo huyo DC alipata shavu sehemu ingine tena mshangae sasaKwa nini alitaka kumpiga na alitaka kumpiga kama nani....!?
Lazima kulikuwa na witness wengi tu, hivyo kama hawatatishwa ukweli utajulikana. Yaani kitendo cha yeye kushika mkono tena mtoto wa kike... Yaani ni kosa kubwa sana.
Hiki kiburi cha Wakuu wa Wilaya toka enzi za JPM inabidi kidhibitiwe. Nakumbuka akina Chalamila waliwahi piga watoto wa watu halafu kuna watu wakawa defend. Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Enzi za JK kuna Mkuu wa Wilaya alimtandika viboko mwalimu wa shule ya msingi.... Kikwete alimtimua kazi kesho yake.
Sitashangaa kusikia ana negotiate dau ili atoke salama. Kwa hiyo matokeo ya uchaguzi nafikiri tayari yameshajulikana.
ITV wanaendekeza urafiki, sio huyo tu kuna Dc Gondwe wa kinondoni, kila akiongea na wananchi anafoka, utadhani anaongea na watoto wake nyumbani.Karibu kila siku kwenye kipindi cha Nipashe Radio 1 hukosi taarifa inayomuhusu kutokea Songwe ila ukifuatilia nyingi zinahusu kugombezana, Mikwala mara kapiga marufuku hiki au kile mpaka nikajiuliza Ina maana hiyo wilaya hakuna mazuri yanayopaswa kuripotiwa? Au Mkuu wake kila siku yeye ni kugombana na wananchi wake!?
Kabisa aisee ni aina ya wale viongozi wanaolazimisha mambo wakati uwezo wao mdogo. Jambo la kutumia akili na busara yeye anatumia kalipio. Ukisikia psychological hazard ndo hao sasa.Karibu kila siku kwenye kipindi cha Nipashe Radio 1 hukosi taarifa inayomuhusu kutokea Songwe ila ukifuatilia nyingi zinahusu kugombezana, Mikwala mara kapiga marufuku hiki au kile mpaka nikajiuliza Ina maana hiyo wilaya hakuna mazuri yanayopaswa kuripotiwa? Au Mkuu wake kila siku yeye ni kugombana na wananchi wake!?
Nchi ngumu hii mzee uwajibikaji wa viongozi ni zero, nchi inaongozwa na matamko. We subiri kusikia tamko ama ufafanuzi afu mambo yanaisha....Alitakiwa Kwanza awe Nje ya Ofisi Uchunguzi Ukifanyika!...
Katetea nini sasa hapo?@johnthebaptist huyu DC amekulipa kiasi gani? Unaanzisha mada za kumsafisha kila mara,
Mwache abebe msalaba wake,
Akifukuzwa, au akibaki hupungukiwi na kitu, Labda kama wewe ndiye DC mwenyewe unajietea, maana humu tunatumia I'd fake,
Nadhani umerukia treni kwa mbele!Taifa Maskini daima limejaa watu wenye Roho mbaya, kuombea mabaya wenzao kuomba wenzao wapate shida nk.
Mhe.DC ampige mtoto wa shule ngumi for what?? Somtimes tutumie akili badala ya kutanguliza Roho ya Uchawi.
Unamaanisha yale marangirangi yaliyopigwa ban kuingia nayo Qatar?Ngoja niliweke sawa hili.. Huyu Samalenge ni miungoni mwa wale wa rainbow namjua vizuri tu
Kuna shule moja ya school bus wanachapa watoto balaa, eti ili wafauluLabda shule zenu za kayumba ndio wanachapa ,shule za school bus ni marufuku kumchapa mtoto.
DC alitaka ampige tena anafungua bakuli na kutoa kauli ya kijinga....Polisi tu haruhusiwi kupiga mtu ndiyo iwe DC?
Kasema kavimba mashavu ? Ni kweli?Umepanic sana Mkuu mpaka unakosea kila mahari kuandika.Tulia uchunguzi ufanyike,kama hukumpiga mwanafunzi utasalimika tu,otjerwise tunakufahamu kipaji chako cha uigizaji,hushindwa kitwist mambo wewe.
Akamshika 'MKONO"......Bado hainiingi akilini. DC na mwanafunzi mpaka kuonyana, hapo kuna maswali mengi.
Halafu binti mwenyewe mrembo, nitafunga safari kwenda kumpa pole.Kama DC katoa warning kampasua binti jicho,
Je angempiga ?
Binti angekuwa ktk hali gani..
Uetetezi mwingine hovyo kabisa.
Kwa hiyo ukipigwa warning unavimba jicho hadi unafungwa bandeji?Mh Simalenga amesema yule binti hajapigwa kama inavyosimuliwa bali yeye alimpa warning
DC ana mamlaka ujue, anaweza kuwapangia kazi nyingine wachunguzi.Kwani Uchunguzi unafanyikia ofisini?
Inawezekana pia ni x wapenzi...Halafu binti mwenyewe mrembo, nitafunga safari kwenda kumpa pole.